Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Naomba nikusifie mpaka nibubujikwe na machoziSipendi kusifiwa...naonaga kama sifa=kuchorana=kujazana ujinga
Nilisahau kumbe mimi wa kiume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nikusifie mpaka nibubujikwe na machoziSipendi kusifiwa...naonaga kama sifa=kuchorana=kujazana ujinga
Nilisahau kumbe mimi wa kiume
Kazi nzuriSalaam,
Wanawake ni viumbe tata kuishi nao, ikiwa huna ABC kuwahusu. Namshukuru mwanamke wangu, kwa kushare nami ABC nyingi kumhusu mwanamke, zinazonirahisishia kudeal nae.
Mwanamke anapenda sana kusifiwa, hivo kama unataka kuiwin saikolojia yake, jenga utamaduni wa kumsifia.
Kusifiwa ni jambo kubwa kwa mwanamke, ambalo humfanya ajione special na mwenye thamani.
Kumsifia mwanamke, pia hutumika kama mbinu ya kuvuta attention ya mwanamke kirahisi wakati wa kum-approach.
Ukipata wasaa wa kumsifia mwanamke, msifie kadri uwezvyo, itakurahisishia kudeal nae.
Kwa maua ganilazima tusifiwe sisi ni maua jamani
Utakuwa ni mwanaume, women are ego centric idiotsSipendi kusifiwa...naonaga kama sifa=kuchorana=kujazana ujinga
Nilisahau kumbe mimi wa kiume
Naomba nikusifie mpaka nibubujikwe na machozi
Dah🤣🤣🤣unapenda sana kunichomekea misala...we mjibu tu kiumbe wa watu
Uanamke wako utakuwa na walakini😁Sipendi kusifiwa...naonaga kama sifa=kuchorana=kujazana ujinga
Nilisahau kumbe mimi wa kiume
Itakuwa kuna kitu alikuomba ,I guess😜Tatizo simkumbuki,kwa hiyo kama sikumbuki basi itakuwa ni wewe 🤣
Halafu hajarudi kusema aliniuliza nini ili nimjibu 😂
Sio kidogo, sana yaniUnamwaga sifa hadi unalia 😂
Mkuu,Kwa nini mada nyingi humu ni za kuwawaza wanawake tu...tunaumia kutafuta hela,tunawaza tunakufa lini?tunawaza mambo chungu nzima ....wanawake tuwapumzishe...sasa niwaze kumsifia halafu yeye aniwazie mimi nini?kunichuna au?
Jidanganye 😁lazima tusifiwe sisi ni maua jamani
Duh ndio maana naachwa🤔Ukishaweka suala la ubusy means hauna mda na Mpenzi wako na hapo ndipo wengi mnakosea na mkishaprovide kila kitu mnaanza kujiona mko sahihi while not,.
Hakuna ubusy kwa mtu unayempenda
Halafu mbona wanawake hatuko complicated hivyo kama mnavyohisi😃😃
Au Dereva Bajajiiii? Woiiiiiiingoja asifiwe na bodaboda
😂😂😂😂acha kabisaAu Dereva Bajajiiii? Woiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila mtu anaweza kuonekana simp kutokana na mtizamo wa mtizamaji.Angalia tu usije kuonekana simp
i will never be a simp if i kill desperation in meKila mtu anaweza kuonekana simp kutokana na mtizamo wa mtizamaji.