Wanawake wanapenda sana kusifiwa

Wanawake wanapenda sana kusifiwa

Salaam,

Wanawake ni viumbe tata kuishi nao, ikiwa huna ABC kuwahusu. Namshukuru mwanamke wangu, kwa kushare nami ABC nyingi kumhusu mwanamke, zinazonirahisishia kudeal nae.

Mwanamke anapenda sana kusifiwa, hivo kama unataka kuiwin saikolojia yake, jenga utamaduni wa kumsifia.

Kusifiwa ni jambo kubwa kwa mwanamke, ambalo humfanya ajione special na mwenye thamani.

Kumsifia mwanamke, pia hutumika kama mbinu ya kuvuta attention ya mwanamke kirahisi wakati wa kum-approach.

Ukipata wasaa wa kumsifia mwanamke, msifie kadri uwezvyo, itakurahisishia kudeal nae.
Kazi nzuri
 
Angalia tu usije kuonekana simp, ndio utaelewa kwamba nothing in a realm of power is set in stone, kila kitu kina exception
 
Endelea kumsifia mkeo alafu shoo mbovu ....kuna sisi wajuba hutujui kumsifia ila tunapiga shoo kama tumetumwa na Kijiji.......
 
Kwa nini mada nyingi humu ni za kuwawaza wanawake tu...tunaumia kutafuta hela,tunawaza tunakufa lini?tunawaza mambo chungu nzima ....wanawake tuwapumzishe...sasa niwaze kumsifia halafu yeye aniwazie mimi nini?kunichuna au?
Mkuu,

Hata wewe unaweza kuanzisha mada unayotaka. Unayoona inafaa.

Anzisha tu.
 
Ukishaweka suala la ubusy means hauna mda na Mpenzi wako na hapo ndipo wengi mnakosea na mkishaprovide kila kitu mnaanza kujiona mko sahihi while not,.
Hakuna ubusy kwa mtu unayempenda

Halafu mbona wanawake hatuko complicated hivyo kama mnavyohisi😃😃
Duh ndio maana naachwa🤔
 
Back
Top Bottom