Wanawake wanapenda sana kusifiwa

Kazi nzuri
 
Angalia tu usije kuonekana simp, ndio utaelewa kwamba nothing in a realm of power is set in stone, kila kitu kina exception
 
Endelea kumsifia mkeo alafu shoo mbovu ....kuna sisi wajuba hutujui kumsifia ila tunapiga shoo kama tumetumwa na Kijiji.......
 
Kwa nini mada nyingi humu ni za kuwawaza wanawake tu...tunaumia kutafuta hela,tunawaza tunakufa lini?tunawaza mambo chungu nzima ....wanawake tuwapumzishe...sasa niwaze kumsifia halafu yeye aniwazie mimi nini?kunichuna au?
Mkuu,

Hata wewe unaweza kuanzisha mada unayotaka. Unayoona inafaa.

Anzisha tu.
 
Duh ndio maana naachwa🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…