Wanawake wanapenda sana kusifiwa

Wanawake wanapenda sana kusifiwa

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Salaam,

Wanawake ni viumbe tata kuishi nao, ikiwa huna ABC kuwahusu. Namshukuru mwanamke wangu, kwa kushare nami ABC nyingi kumhusu mwanamke, zinazonirahisishia kudeal nae.

Mwanamke anapenda sana kusifiwa, hivo kama unataka kuiwin saikolojia yake, jenga utamaduni wa kumsifia.

Kusifiwa ni jambo kubwa kwa mwanamke, ambalo humfanya ajione special na mwenye thamani.

Kumsifia mwanamke, pia hutumika kama mbinu ya kuvuta attention ya mwanamke kirahisi wakati wa kum-approach.

Ukipata wasaa wa kumsifia mwanamke, msifie kadri uwezvyo, itakurahisishia kudeal nae.
 
Nadhani ndo kitu nilichonyimwa. Nilishamwambia wife kuwa akiona sijamkosoa, basi ajue amependeza. Hili pia linajumuisha kutamka maneno kama honey, sijui my...... I'm simply the olden type na sijui kama kuna dawa ya kusaidia kubadilika.
Chamsingi unafanya majukumu yako kama mume,. Haya mengine ni ya ziada tu wala sio lazima kiasi kwamba usipofanya kuna kitu kitatokea🫡
 
Back
Top Bottom