Wanawake wanapenda sana magari kuliko nyumba ni ulimbukeni au wako sahihi?

Wanawake wanapenda sana magari kuliko nyumba ni ulimbukeni au wako sahihi?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Kwa mwanamke yupo radhi aolewe na mtu mwenye gari aliyepanga kuliko asiye na gari mwenye nyumba yake kabisa.

Mwenye gari anaeleweka sana na haraka sana kuliko mwenye nyumba.

Sijui gari mtu anaweza kulala humo?!

Ni ulimbukeni au wako sahihi?
 
hivi ni lini mtaelimika hivi kweli ni new alert
mtu upo zaidi ya miaka mitano
 
Kwny shida za usafiri natumaini utaendesha nyumba yako lol
Hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba
Maisha ni nyumba dada angu
Vitu vyenye thamani ni nyumba na kiwanja zunguka kote
Leo uniaminishe gari ni bora kuliko nyumba nimelogwa
Nenda taasisi yoyote ya kifedha mdhamana wao ni nyumba au kiwanja.
 
Mtu anaweza kununua gari kabla ya kujenga kulingana na mazingira yakazi yake, sizani kama mwanamke anamapenzi yakweli
amkatae mtu kisa ana nyumba hana gari basi huyo ni mwanamke maslahi , hivyo kama mtu kakukataa kisa huna basi huyo hana mapenzi nawe
 
Kwenye gari hakuna kupika, kuosha vyombo, kelele za watoto au majirani wambea...mkuu hapo usingependa??
 
Back
Top Bottom