Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umemaloza kazi brother.Hapana. Kujenga ni rahisi kuliko kununua gari kwa Tanzania. Ukitaka gari ya 20m inabidi uwe na 20m cash. Lakini unaweza kujenga nyumba ya 20m huku ukiwa hujawahi kushika hata 2m ya pamoja.
Kuwa na nyumba au gari n chaguo la mtu. Sababu hana nyumba lakin analala ndani. Hana gar lakini anafka sehem anayotaka kwenda.Hapa umemaloza kazi brother.
Kupanga ni kuchagua....!! Maisha hayana formulaKwa mwanamke yupo radhi aolewe na mtu mwenye gari aliyepanga kuliko asiye na gari mwenye nyumba yake kabisa.
Mwenye gari anaeleweka sana na haraka sana kuliko mwenye nyumba.
Sijui gari mtu anaweza kulala humo?!
Ni ulimbukeni au wako sahihi?
Vijana bhana!Chrysler 300 , Crown saloon , Chevrolet ndiyo gari za kijanja. Lazima demu adate.
Acha ushamba wewe nenda arusha kuna Chrysler za wafanya biashara, ukienda upanga dar es salaam kuna mhindi ana Cadillac escalade, hapo kawe kuna jamaa ana Mercedes G class, tembea uone rafiki yangu. 😀Vijana bhana!
Nani ana Chrysler hapa bongo? Cherolet used zipo zipo kidogo. Kwa sasa wengi tunakimbilia Mjerumani VW Touareg/Amarok na Mwingereza Ford/Landrover
Cadillac na Porche Cayenne za Dar nimeziona. Tupiamo picha hizo za Arusha nitoe ushamba ndg. Utakua umesaidia kunipunguzoa ushamba.Acha ushamba wewe nenda arusha kuna Chrysler za wafanya biashara, ukienda upanga dar es salaam kuna mhindi ana Cadillac escalade, hapo kawe kuna jamaa ana Mercedes G class, tembea uone rafiki yangu. 😀
Nitakutumia ila magari yapo sema moja moja sana.Cadillac na Porche Cayenne za Dar nimeziona. Tupiamo picha hizo za Arusha nitoe ushamba ndg. Utakua umesaidia kunipunguzoa ushamba.
Nitakutumia ila magari yapo sema moja moja sana.Cadillac na Porche Cayenne za Dar nimeziona. Tupiamo picha hizo za Arusha nitoe ushamba ndg. Utakua umesaidia kunipunguzoa ushamba.
Sijui gari mtu anaweza kulala humo?!
Kinachofanya magari ya Mmarekani (Buick, Chevrolet nk) yasitambe sana kwetu ni availability ya spare parts na uhaba wa suppliers. Mfano ni hizo Cadillac Escalade. Range Rover Vogue zinatamba kwa sababu suppliers wapo hapa hapa. VW zinatamba kwa sababu suppliers wapo hapa hapa. Lolote likitokea wapo!Nitakutumia ila magari yapo sema moja moja sana.
Mmmh... We utakuwa fundi magari siyo bure halafu unakaa arusha. 😀Kinachofanya magari ya Mmarekani (Buick, Chevrolet nk) yasitambe sana kwetu ni availability ya spare parts na uhaba wa suppliers. Mfano ni hizo Cadillac Escalade. Rangw Eober Vogue zinatamba kwa sababu suppliers wapo hapa hapa. VW zinatamba kwa sababu suppliers wapo hapa hapa. Lolote likitokea wapo!
Wala sipo Arusha na walansi fundi wa magari. Utashikaje smartphone na grisi mkononi bhana? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmh... We utakuwa fundi magari siyo bure halafu unakaa arusha. 😀
Umejuaje yote haya. 😵Wala sipo Arusha na walansi fundi wa magari. Utashikaje smartphone na grisi mkononi bhana? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeishi nje ya nchi kwa muda sana ingawa kwa sasa niko Tz. Nina uzoefu kiaina na vyombo vya moto.Umejuaje yote haya. 😵
Muongo. 😀Nimeishi nje ya nchi kwa muda sana ingawa kwa sasa niko Tz. Nina uzoefu kiaina na vyombo vya moto.
Umejiunga lini JF?. Naona unataka kuleta ligi na wakongwe!Muongo. 😀