D
Deleted member 485868
Guest
[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naona vyote ni muhimuHakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba
Maisha ni nyumba dada angu
Vitu vyenye thamani ni nyumba na kiwanja zunguka kote
Leo uniaminishe gari ni bora kuliko nyumba nimelogwa
Nenda taasisi yoyote ya kifedha mdhamana wao ni nyumba au kiwanja.
Hapa pana ukweli chanya.Ni rahisi sana kulala kwenye gari lakini huwezi kuendesha nyumba
Hapana. Kujenga ni rahisi kuliko kununua gari kwa Tanzania. Ukitaka gari ya 20m inabidi uwe na 20m cash. Lakini unaweza kujenga nyumba ya 20m huku ukiwa hujawahi kushika hata 2m ya pamoja.Haaa haaa, kununua gari nirahisi kuliko kujenga hawajui tu
Fikiria ukiwa mjini mtu anaweza kukuthamini ati una nyumba? Kwani unatembea nayo? Lakini ukiwa na Gari atakukuta umo! Usisahau hata wewe unapomuona siku ya kwanza unatamani uzuri wake aliokuwa nao wakati huo naye anatathimini utajiri wako wa wakati huoKwa mwanamke yupo radhi aolewe na mtu mwenye gari aliyepanga kuliko asiye na gari mwenye nyumba yake kabisa.
Mwenye gari anaeleweka sana na haraka sana kuliko mwenye nyumba.
Sijui gari mtu anaweza kulala humo?!
Ni ulimbukeni au wako sahihi?
Hahaaaaa. Hii ndio sababu ya mwenye nyumba asiwe na thamani sababu hakuna anayetembea na nyumba.Fikiria ukiwa mjini mtu anaweza kukuthamini ati una nyumba? Kwani unatembea nayo? Lakini ukiwa na Gari atakukuta umo! Usisahau hata wewe unapomuona siku ya kwanza unatamani uzuri wake aliokuwa nao wakati huo naye anatathimini utajiri wako wa wakati huo
Kwa mwanamke yupo radhi aolewe na mtu mwenye gari aliyepanga kuliko asiye na gari mwenye nyumba yake kabisa.
Mwenye gari anaeleweka sana na haraka sana kuliko mwenye nyumba.
Sijui gari mtu anaweza kulala humo?!
Ni ulimbukeni au wako sahihi?
Umeamkajea Dada yangu.Hahaaaaa. Hii ndio sababu ya mwenye nyumba asiwe na thamani sababu hakuna anayetembea na nyumba.
Marahabaaaaa huo ndio ukweli! Usisahau matamanio ya me ni tofauti na Ke. Sisi tunadhani huyu atakuwa na gegedo safi nyie mnaangalia kama anaweza kukusitiriHahaaaaa. Hii ndio sababu ya mwenye nyumba asiwe na thamani sababu hakuna anayetembea na nyumba.
Naked truth...Hapana. Kujenga ni rahisi kuliko kununua gari kwa Tanzania. Ukitaka gari ya 20m inabidi uwe na 20m cash. Lakini unaweza kujenga nyumba ya 20m huku ukiwa hujawahi kushika hata 2m ya pamoja.
Niko poa kabisa mdogo wangu sijui wewe?Umeamkajea Dada yangu.
Sorry mleta uzi kwa kwenda nje na mada ujumbe nimeupata vizuri
Namshukurua Allah, niko salama saliminiNiko poa kabisa mdogo wangu sijui wewe?
Hahaaaa. Na wale ndio wanapendwa hatari.Hata madereva cha muhim awe na usukani hata kama ni dereva ana gari la STK atadhani ni la bwana huyo
Sawa mdogo wangu. Uwe na asubuhi njema.Namshukurua Allah, niko salama salimini