Wanawake wanapenda sana magari kuliko nyumba ni ulimbukeni au wako sahihi?

Hapana. Kujenga ni rahisi kuliko kununua gari kwa Tanzania. Ukitaka gari ya 20m inabidi uwe na 20m cash. Lakini unaweza kujenga nyumba ya 20m huku ukiwa hujawahi kushika hata 2m ya pamoja.
Hapa umemaloza kazi brother.
 
Kwa mwanamke yupo radhi aolewe na mtu mwenye gari aliyepanga kuliko asiye na gari mwenye nyumba yake kabisa.

Mwenye gari anaeleweka sana na haraka sana kuliko mwenye nyumba.

Sijui gari mtu anaweza kulala humo?!

Ni ulimbukeni au wako sahihi?
Kupanga ni kuchagua....!! Maisha hayana formula
 
Chrysler 300 , Crown saloon , Chevrolet ndiyo gari za kijanja. Lazima demu adate.
 
Chrysler 300 , Crown saloon , Chevrolet ndiyo gari za kijanja. Lazima demu adate.
Vijana bhana!
Nani ana Chrysler hapa bongo? Cherolet used zipo zipo kidogo. Kwa sasa wengi tunakimbilia Mjerumani VW Touareg/Amarok na Mwingereza Ford/Landrover
 
Vijana bhana!
Nani ana Chrysler hapa bongo? Cherolet used zipo zipo kidogo. Kwa sasa wengi tunakimbilia Mjerumani VW Touareg/Amarok na Mwingereza Ford/Landrover
Acha ushamba wewe nenda arusha kuna Chrysler za wafanya biashara, ukienda upanga dar es salaam kuna mhindi ana Cadillac escalade, hapo kawe kuna jamaa ana Mercedes G class, tembea uone rafiki yangu. πŸ˜€
 
Cadillac na Porche Cayenne za Dar nimeziona. Tupiamo picha hizo za Arusha nitoe ushamba ndg. Utakua umesaidia kunipunguzoa ushamba.
 
Cadillac na Porche Cayenne za Dar nimeziona. Tupiamo picha hizo za Arusha nitoe ushamba ndg. Utakua umesaidia kunipunguzoa ushamba.
Nitakutumia ila magari yapo sema moja moja sana.
 
Sijui gari mtu anaweza kulala humo?!

Unamaanisha hao wanaume wenye magari wanalala nje? Si wamepanga....usingizi wa nyumba ya kupanga na wa nyumba uliyojenga ni ule ule tu!
 
Nitakutumia ila magari yapo sema moja moja sana.
Kinachofanya magari ya Mmarekani (Buick, Chevrolet nk) yasitambe sana kwetu ni availability ya spare parts na uhaba wa suppliers. Mfano ni hizo Cadillac Escalade. Range Rover Vogue zinatamba kwa sababu suppliers wapo hapa hapa. VW zinatamba kwa sababu suppliers wapo hapa hapa. Lolote likitokea wapo!
 
Mmmh... We utakuwa fundi magari siyo bure halafu unakaa arusha. πŸ˜€
 
Mmmh... We utakuwa fundi magari siyo bure halafu unakaa arusha. πŸ˜€
Wala sipo Arusha na walansi fundi wa magari. Utashikaje smartphone na grisi mkononi bhana? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna vitu vinafurahishaaaa basi tuu....

Anyway; kila MTU na kipaumbele chake hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…