Kwahiyo huyo jamaa kapungua nini.
Yaani wewe katika sifa unaona hiyo ni sifa ya maana. Mimi nawasifu wakinga kwa kuwa mahiri kwenye nyanja za biashara kiasi cha kuweza kuwaondoa wafanyabiashara wenye asili ya asia kufunga virago maeneo yote ya nyanda za juu kusini na hivi sasa wameshambulia kariakoo na kuifanya kuwa chini ya himaya yao. Hizi ndizo sifa zapasazo tolewaHabari ndo hiyo kama kichwa cha habari, lakini ni ukweli mtupu na pia napenda niwahakikishie wanawake sie pale kwa 6 by 6 ni wanyama, tuna pumzi ya mbwa na mikunjo na miguso ya washawasha.
Hii nimeambiwa na wanawake wengi ktk maeneo niliyopita hapa tanzania. Nipo songea matalawe kwa wiki hii na huku ni fujo tu, dada niliyekaa nae jana siti moja kwenye basi kuja huku alishindwa kunivumilia akaniomba namba ya simu, kina dada wananisumbua wakidai nyie madume ya kinyakyusa wengi mna miili ya kiume na macho yenye mvuto, pia wanapenda jinsi tulivyo na uanaume yaani kuwa juu ya mwanamke kimamlaka, tukisema tumesema, Kuwajibika kama mwanaume.
Wanaume wa mbeya na asili ya mbeya, kama inawezekana tupunguze kuwatesa madada.
ha ha haha[/QUOT
Mis Chaga,huyo jamaa angekuwa mcheza mpira Maarufu kama Baloteli.au Bakari Sana ungemkataa.
Mapenzi si sura ni Pesa.
Habari ndo hiyo kama kichwa cha habari, lakini ni ukweli mtupu na pia napenda niwahakikishie wanawake sie pale kwa 6 by 6 ni wanyama, tuna pumzi ya mbwa na mikunjo na miguso ya washawasha.
Hii nimeambiwa na wanawake wengi ktk maeneo niliyopita hapa tanzania. Nipo songea matalawe kwa wiki hii na huku ni fujo tu, dada niliyekaa nae jana siti moja kwenye basi kuja huku alishindwa kunivumilia akaniomba namba ya simu, kina dada wananisumbua wakidai nyie madume ya kinyakyusa wengi mna miili ya kiume na macho yenye mvuto, pia wanapenda jinsi tulivyo na uanaume yaani kuwa juu ya mwanamke kimamlaka, tukisema tumesema, Kuwajibika kama mwanaume.
Wanaume wa mbeya na asili ya mbeya, kama inawezekana tupunguze kuwatesa madada.
Mbeya pia kumbe kuna wanaume!
True unachokiongea ni kweli,wanaume wetu wana mfumo dume,halafu tabia ya kujisifu km huyo wanayo kwa asilimia mia ,ingawa si wote,hata dharau wanazo sana,bahati nzuri mimi pande zote mimini mnyaki,lakini nilivoona baba zangu wakubwa kwa wadogo,wajomba,ni wachache wanaishi vizuri ktk ndoa zao,ni wale wenye hofu ya Mungu tu,wengine ni mabavu sana kwa kwenda mbele,namshukuru Mungu niiapa kutokuolewa na mtu wa kabila langu,nashukuru amenitimizia haja ya moyo wangu.Mijamaa haitahiriwi. Ukiikuta mi mtu mizima na mikono ya sweta. Halafu inadhani mapenzi ni amri na mabavu hadi kitandani. Nilisuruhisha kesi nyingi sana za hawa jamaa wakati nikifanya kazi Mbeya.
Hata birthrate itashuka mnoKwa kasi hii sijui 2020 tutakuwa tumebaki wangapi!