Wanawake wanatusifia wanaume wa Mbeya tuna miili ya kiume na macho yenye mvuto.

Wanawake wanatusifia wanaume wa Mbeya tuna miili ya kiume na macho yenye mvuto.

Mi ni mnyakyusa ila mbona nimesema wanaume wenye asili ya mbeya.
mbeya sio ya wanyakyusa tu.


Kwenye "Kichwa cha habari" umetumia wanaume wa Mbeya, kwenye kufafanua ukatumia "wanaume wa kinyakyusa".

Ni sawa na kusema g=z. Ndio maana nikauliza kumbe Mbeya yote ni ya Wanyakyusa?
 
10325771_832308193579676_8720320250197981774_n.jpg
 
Na hayo maeneo anayoishi (TANDIKA) na kusifiwa macho mazuri. Angalie vikao vya Ghahwa anaweza akaambia "Wameshakulipia hayee" akiuliza nani kalipa hamuoni
 
Huku ambako tunaendelea Ipo siku wanaume watavaa madela watasingizia kanzu wanaiga uha rabuni tena msivae na chupi kama mabinti wa kileo mpige upepo
 
Hahaha hongera mnyaki mwenzangu. Mlivyo ma gentleman sana kaka zangu + heights + rangi yetu adimu teh
 
Back
Top Bottom