anaesthetist
Member
- Mar 20, 2016
- 27
- 22
- Thread starter
- #21
Mi ni mnyakyusa ila mbona nimesema wanaume wenye asili ya mbeya.Hivi kumbe Mbeya yote ni ya Wanyakyusa?
mbeya sio ya wanyakyusa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni mnyakyusa ila mbona nimesema wanaume wenye asili ya mbeya.Hivi kumbe Mbeya yote ni ya Wanyakyusa?
Nisaidie kushanga mtanimmh unamacho mazuri ?
mtani mimi ngachoka kapisa ..Nisaidie kushanga mtani
Tunapungua sana aisee.nadhani wanume sasa mnzadi kupungua aisee
Mi ni mnyakyusa ila mbona nimesema wanaume wenye asili ya mbeya.
mbeya sio ya wanyakyusa tu.
Poa poa mtu wa MbeyaDar ndo niishipo, mnyakyusa ila shughuli zangu nyingi nafanya dar, tandika ndo maskani. Huku mkoani nafuata nakuja sababu ya shughuli zangu.
hatari sanaTunapungua sana aisee.
Ndo hivyohatari sana
nadhani wanume sasa mnzadi kupungua aisee
Ule ugonjwa wa wanaume wa Dar naona unasambaa kwa kasi ya ajabuTunapungua sana aisee.
umefika hadi mbeya sasaUle ugonjwa wa wanaume wa Dar naona unasambaa kwa kasi ya ajabu
Wonderful colabo
Maana sisi wa dar tunapondwa sana humu. Sasa naona wa mikoani kumbe ndo wale waleUle ugonjwa wa wanaume wa Dar naona unasambaa kwa kasi ya ajabu
ha ha haha
Jambazi