Wanawake wanatusifia wanaume wa Mbeya tuna miili ya kiume na macho yenye mvuto.

Wanawake wanatusifia wanaume wa Mbeya tuna miili ya kiume na macho yenye mvuto.

siye wa town tunasifiwa kwa kuhonga tu....
sasa we komaa na mwili wako kama tembo siye wala hatunaizo...
akija tu nampeleka beach akale upepo mbalamwezi, tukitoka hapo haooo sitaji wapi ila utasikia tu tayari kaliwa
 
Wanaume wa MBEYA Mnapenda sana sifa hiyo ndo sifa namba moja, kuongea ongea sana, mengine hayana kichwa wala miguu, hata mkienda sehem ikifika time ya lishe hiyo chakula atakachoagiza, Ugali, bamia, samaki wa mchuzi, samaki mkavu, yai la kuchemsha yani hapo mmetoka tu for dinner or something, kwanza hiyo dinner lazima akupeleke mazingira ambayo atapata hiyo milo mara chips mayai (zege) na bia ndo mana wengi wana vitambi visivyoeleweka.
swala la vitambi asee weka pembeni kwanza
 
Hivi kumbe Mbeya yote ni ya Wanyakyusa?
Sio yote wanatokea wilaya mbili tuu..rungwe na.kyela

Pengine.wanyakyusa huwa ndio wanasifiwa sisi wasafwa,wamalira,wanyiha nk kama hatuna pesa na sura zetu ngumu nani atusifie,kwanza kusifiwa kwa mwanaume kuwa unamacho mazur sio sifa

But mtoa mada anasema anaishi dar basi sio tatizo
 
Labda mnasifiwa na wanawake wa mbeya ambao hawajawahi kutoka huko mbeya, wanaume wa mbeya kwenye ramani ya mapenzi hapa tanzania hamno kabisa
 
Nenda uendako hutakuja kumkuta mnyakyusa ambaye ni mwislamu cjui hii kitu imekaeje.
Naitwa Hassan Mwakasakafyuka[emoji12]

Mjomba angu anaitwa mohamedi Mwaikimba

Babu yangu anaitwa Shomari Mwaipaja.

Rafiki zangu kuna ali mwaipopo

Husseni Mwakajumba

Unasemaje hakuna mnyakyusa muislamu

Ushafika Tukuyu,mwakaleli,kiwira, au ushafika Kyela itungi ,au boda wewe


Abhana wewe

Mbombo ngafu bhabha[emoji2]
 
beyonce-shaking-head-and-saying-nope.gif
 
Wanaume wa mbeya ni mapanga boy [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Yani sijaelewa vizuri, wanarembua kama wamekula kungu? au wanatoa tigo?
 
Mi kusema ukweli Sijawahi kusikia wanaume wa mbeya wamesifiwa. Wangesema ht wa huku kanda maalum mkoa wa mara ningwaelewa kidogo.
 
Back
Top Bottom