The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Katika utafiti ambao hivi karibuni utachapishwa mitandaoni kutoka taasisi moja ya utafiti unaonyesha kua wanawake wengi wanasema kua wanaume kutoka kanda ya ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga kuliko wanaume wote Ukanda wa Afrika Mashariki na kati.
Wanawake walipoulzwa ni makabila gani hasa kutoka kanda ya ziwa wanaohonga kura ikaangukia wasukuma na wakurya. Wahaya wakasemekana ni matapeli wa mapenzi.
Wakurywa wakapigiwa kura jua ni wanaume wakorofi na malaya ila wanaojua kuhonga. Mwnaamke mmoja alifikia hatua ya kusema ukipata danga la kikurya likakuelewa linaweza hata kukujengea ghorofa. Hawana shida ya kuhonga ila ukizingua kipigo kiko nje nje kama uchi wa mbuzi.
Wasukuma wao walishinda category ya overall, upole na uhongaji. Dada mmoja alisema ni rahisi sana kumfanya mwanaume wa kisukuma msukule wako wa mapenzi. Hawana wivu na pia hata ukizingua hawana shida kukusamehe na akaendelea kutoa matumizi.
Wanaume wa kanda ya Pwani wameshinda category ya wanaume wapole na wanyenyekevu kwa wake zao. Wanawake wengi wanasema mwanaume wa pwani hata ukimgombeza yeye ndie anakuomba umsamehe ila ni wavivu wanaopenda kulelewa.
Wanaume wa kanda ya kaskazini wameshika nafasi ya mwisho ya wanaume wasiojua mapenzi na bahili, wasiojali wanawake kihisia.
Wanaume wa kanda ya kati na kusini waneonekana kua ni wanaume wasioeleweka, wenye misongo ya mawazo na ambao hawatabiriki ila waaminifu.
Utafiti huu utachapishwa hivi karibuni na taasisi iliyofanya utafiti.
Je, wewe unakubaliana na haya maoni ya kina mama?