Wanawake wanavyochanganyikiwa mbele ya Mange Kimambi

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Yani wanawake wanapolisikia jina la Mange Kimambi akili huwaruka kabisa na kuwa kama vichaa.Ikitokea mwanaume kagombana na Mange Kimambi basi tegemea hata picha za uchi atakazopigwa na mke wake na kurushwa kwenda US kwa Mange.

Wanawake wamgeuza Mange mungu wa Social networks

Sasa ndio nimewamegea siri wanaume wenzangu,ikitokea umetofautiana na Mange kwenye mitandano huko uhakikishe unalala umependeza kabisa tena ikiwezekana weka na tai shingoni maana huwezi jua ni mda gani utapigwa picha.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo kwenye kulala na tai plus joto lote hilo
 
Huyo mange kimavi ndiyo nani,?? Mi simjui
 
Unalala umependeza kweli labda kama huna mke
 
Wanawake wengi wa TZ huwa wanafuata mkumbo kwny social nertwork
 
Huyo mange kimavi ndiyo nani,?? Mi simjui
Usijifiche huku mfuate insta halafu mletee hizo ndio utamjua kama kimavi au kimambi! Binafsi siwezi kutafuta ugomvi na mtu ambaye siwezi kumtoa manundu ugomvi mchambo sio sifa ya kiume
 
Usijifiche huku mfuate insta halafu mletee hizo ndio utamjua kama kimavi au kimambi! Binafsi siwezi kutafuta ugomvi na mtu ambaye siwezi kumtoa manundu ugomvi mchambo sio sifa ya kiume
Sijakuelewa.

Km kunaaliye muelewa jamani anielewrshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…