Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
Yani wanawake wanapolisikia jina la Mange Kimambi akili huwaruka kabisa na kuwa kama vichaa.Ikitokea mwanaume kagombana na Mange Kimambi basi tegemea hata picha za uchi atakazopigwa na mke wake na kurushwa kwenda US kwa Mange.
Wanawake wamgeuza Mange mungu wa Social networks
Sasa ndio nimewamegea siri wanaume wenzangu,ikitokea umetofautiana na Mange kwenye mitandano huko uhakikishe unalala umependeza kabisa tena ikiwezekana weka na tai shingoni maana huwezi jua ni mda gani utapigwa picha.