Wanawake wanavyochanganyikiwa mbele ya Mange Kimambi

Sijakuelewa.

Km kunaaliye muelewa jamani anielewrshe
Nitakufahamisha tena .
Anaitwa mange kimambi si kimavi ila kama una hamu ya kumwita hivyo mfuate insta then itamjua kama kimavi au kimambi!am out!
 
Huyo Mange ana miguu mibaya.

Hata hapendezi kuvaa nguo fupi.
 
Usijifiche huku mfuate insta halafu mletee hizo ndio utamjua kama kimavi au kimambi! Binafsi siwezi kutafuta ugomvi na mtu ambaye siwezi kumtoa manundu ugomvi mchambo sio sifa ya kiume
Huyo Mange hana lolote.

Kama anajiamini mbona ana block watu kila kukicha?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]power of women
hawatumii nguvu kukuliza
 
Nitakufahamisha tena .
Anaitwa mange kimambi si kimavi ila kama una hamu ya kumwita hivyo mfuate insta then itamjua kama kimavi au kimambi!am out!
Oooooooooooooh kumbe nikimambi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji56] yeuwi mbavu zanguu, ile ilikuwa typing error[emoji12] eti kimavi yekeleuwiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sijakuelewa.

Km kunaaliye muelewa jamani anielewrshe
we mzito mno kuelewa,too slow on the uptake,
aamanisha hivyo ulivyomwita kamite kule insta ndo utaelewa kwanini ?
 
Sawa mkuu ngoja ning'arishe viatu hapa maana ni muda wa kulala, mamsapu hata akipiga mapicha ni fresh tu km asemavyo Fid Q..
 
Sawa mkuu ngoja ning'arishe viatu hapa maana ni muda wa kulala, mamsapu hata akipiga mapicha ni fresh tu km asemavyo Fid Q..

Ukilala umependeza utaishia kurekodiwa ukikoroma au ukihemea bao la kusawazisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukilala umependeza utaishia kurekodiwa ukikoroma au ukihemea bao la kusawazisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nitajitahidi nisikorome ili akose cha kufanya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…