Wanawake! Wanawake!

Wanawake! Wanawake!

Bwii89

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
1,001
Reaction score
1,025
Asee wanawake bwana! Cjui hua wanawazaga nn! Unamweleza hisia zako juu yake kwa njia yamtandao (_tongozo) ..anakwambia tuma pesa kwanza nipate nguvu ya kuonana na kuongea naww!..cheni hizo..punguzeni njaa..hata kama mtu ana nia ya kukuoa kwel anakutumia na kukuacha!
 
Sifa ya mwanaume ni kuhudumia mkuu, ukimtafuta mwenyewe kubaliana na vizinga utakavyokutana navyo maana havikwepeki ila vinapunguzika visiwe vingi

Anayependwa bila sababu ni mwanamke, mtoto na mnyama wa kufugwa ila mwanaume hudumia vizuri, ukishindwa kuhudumia kwa pesa basi hakikisha kitandani unahudumia vizuri mkuu, hakuna namna ya kukwepa huduma
 
Kuna aina ya utongozaji huwa unawaturn off wanawake hvo anakua anataka akukimbize pasipo kukuoffend anatumia weakness yako, ambayo ndo hyo sasa. So cha muhimu jiongeze, temana nae, Akiwa na nia ama akiwa kakuelewa hawez kuanza na invoice
 
Sifa ya mwanaume ni kuhudumia mkuu, ukimtafuta mwenyewe kubaliana na vizinga utakavyokutana navyo maana havikwepeki ila vinapunguzika visiwe vingi

Anayependwa bila sababu ni mwanamke, mtoto na mnyama wa kufugwa ila mwanaume hudumia vizuri, ukishindwa kuhudumia kwa pesa basi hakikisha kitandani unahudumia vizuri mkuu, hakuna namna ya kukwepa huduma
Screenshot_20210719-224818_Instagram.jpg
 
Tuma pesa, kama huwezi basi acha sisi tukusaidie kuwatumia
 
Back
Top Bottom