Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
- Thread starter
-
- #21
naam alipokea kijiti kama katiba ilivyomruhusu na sasa anaenda kuchaguliwa na watanzania kwa kishindoAlichaguliwa au alipokea kijiti
Jipige pige kifuani halafu semaMsagaji mmoja
Endelea kusaganaJipige pige kifuani halafu sema
KURA YANGU INAENDA KWA SAMIA, MITANO TENAAAAAAAAAAAAAAAA🖐
Pyeeeeeee badala upingane kwa hoja unaleta mihemko, ndio maana mwanamke anawazidi vingiEndelea kusagana
Wewe kweli ni mwanamke () brainNi kweli mwanamke atabaki kua mwanamke milele daima, ndio maana kuna midume mingi inapenda kua wanawake sababu kuna nguvu kali sana ya asili iliyopo kwa mwanamke, ogopa kiumbe anayetoa damu kila mwezi bila kuumia, ogopa kiumbe anayebeba kiumbe kingine kwa miezi 9 tumboni kwake na kukitoa kwa maumivu makali na bado anadunda, huyo kiumbe mwanamke nikiumbe hatari sana akiamua kuuonesha uanamke wake,
Huyo () brain ndie anayewaliza na kuwakosesha usingizi hadi kumsemea kwa mabeberu🤣🤣🤣
umeambiwa kuna wanaoongoza yeye pale ni picha tu. Huoni hotuba zake hata salamu anasoma walichoandikaHuyo () brain ndie anayewaliza na kuwakosesha usingizi hadi kumsemea kwa mabeberu🤣🤣🤣