Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Acha kuharibu uzi wa maana kwa comment za kijinga, nawe kaliwe kitobo si unacho.....Wengi wenu mmeendekeza kuliwa tu 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuharibu uzi wa maana kwa comment za kijinga, nawe kaliwe kitobo si unacho.....Wengi wenu mmeendekeza kuliwa tu 🤣🤣
Ukimtumikia Mungu na yeye atakuheshimisha huyu dada ni mtu wa Mungu Mlokole tangu anasomaView attachment 2993577
View attachment 2993578
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hatifungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) katika Soko la Hisa la London (LSE)
Hatua hiyo inaifanya Benki ya NMB kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kuwa na hatifungani katika soko hilo na Benki ya Kwanza Afrika Mashariki, Kati na Kusini kuorodhesha Hatifungani ya Uendelevu LSE.
Hati Fungani ya NMB Jamii inalenga kuchochea uwekezaji katika miradi yenye tija kijamii na kimazingira, na toleo la Dola za Kimarekani Milioni 73 ndio limeorodheshwa kwa wawekezaji wa LSE.
Kuorodheshwa kwa mara ya pili kwa NMB Jamii Bond katika masoko ya hisa ya kimataifa kunafuatia kuidhinishwa kwake mwezi jana kuuzwa katika Soko la Hisa la Luxembourg ambako pia hatifungani ya NMB Jasiri imekuwa ikifanya vizuri tangu iorodheshwe kwenye soko hilo mwaka jana.
Uzinduzi wa mauzo ya Hatifungani ya Jamii ulifanyika wakati wa ufunguzi wa shughuli za wiki hii za LSE, na kuhudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki; Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna; Mhazini wa NMB, Aziz Chacha; Afisa Mtendaji Mkuu wa LSE, Julia Hoggetts na viongozi wengine waandamizi kutoka Serikali ya Uingereza na taasisi mbalimbali.
“Tulianza kwa kuiorodhesha hatifungani hii katika Soko la Hisa la Dar es Salaam mwaka jana, Soko la Luxembourg mwezi uliopita, na leo tunaiorodhesha hapa LSE ili kuwapa wawekezaji wanaozingatia uendelevu, fursa ya kuchangia mabadiliko huku wakipata faida nzuri ya uwekezaji wao,” Bi Zaipuna alieleza.
Bi Zaipuna alisema masoko ya kimataifa yanaiwezesha benki hiyo kuwa na wigo mpana wa kupata fedha kwa ajili ya kufadhili miradi inayosaidia kuboresha maisha, kubadilisha jamii na kuwa na mustakabali bora kwa watu wote.
“Mafanikio haya kipekee yanadhihirisha imani waliyokuwa nayo wawekezaji wa Kitanzania na Kimataifa katika uthabiti wa Benki ya NMB na dhamira yake ya uendelevu katika utendaji wake, biashara, jamii na masuala ya mazingira,” Bi Zaipuna alisema.
#Viva Samia Viva , Viva Zaipuna Viva
Bora abaki huko, serikalini siasa zinaharibu utendaji kazi.Niliwahi kusema hapa huyu dada anakitu Cha ziada, Hii NMB tangu aingie huyu Mama mambo ni mengi mapya na faida ni kubwa sana
Rais Samia angeweza kumwingiza Serikalini kama Waziri angeisaidia sana Serikali.
Nikweli mnaliwa sana kwenye betting acha kuharibu mada na ujuha wakoAcha kuharibu uzi wa maana kwa comment za kijinga, nawe kaliwe kitobo si unacho.....
🖕🖕🖕🖕Nikweli mnaliwa sana kwenye betting acha kuharibu mada na ujuha wako
NAKAZIAHongera sana kwake, sio kwa vile ni mwanamke, No!
Serikali huwa inaua vipaji vya hawa watu, such kind of individuals operate kwenye mazingira ya kisiasa. Aachwe huko huko anapo thriveHuoni kama angeweza kusaidia sana pale Wizara ya fedha au Wizara Uchumi?
Hongera kwa NMB, lakini sio hongera kwa jinsia.View attachment 2993577
View attachment 2993578
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hatifungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) katika Soko la Hisa la London (LSE)
Hatua hiyo inaifanya Benki ya NMB kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kuwa na hatifungani katika soko hilo na Benki ya Kwanza Afrika Mashariki, Kati na Kusini kuorodhesha Hatifungani ya Uendelevu LSE.
Hati Fungani ya NMB Jamii inalenga kuchochea uwekezaji katika miradi yenye tija kijamii na kimazingira, na toleo la Dola za Kimarekani Milioni 73 ndio limeorodheshwa kwa wawekezaji wa LSE.
Kuorodheshwa kwa mara ya pili kwa NMB Jamii Bond katika masoko ya hisa ya kimataifa kunafuatia kuidhinishwa kwake mwezi jana kuuzwa katika Soko la Hisa la Luxembourg ambako pia hatifungani ya NMB Jasiri imekuwa ikifanya vizuri tangu iorodheshwe kwenye soko hilo mwaka jana.
Uzinduzi wa mauzo ya Hatifungani ya Jamii ulifanyika wakati wa ufunguzi wa shughuli za wiki hii za LSE, na kuhudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki; Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna; Mhazini wa NMB, Aziz Chacha; Afisa Mtendaji Mkuu wa LSE, Julia Hoggetts na viongozi wengine waandamizi kutoka Serikali ya Uingereza na taasisi mbalimbali.
“Tulianza kwa kuiorodhesha hatifungani hii katika Soko la Hisa la Dar es Salaam mwaka jana, Soko la Luxembourg mwezi uliopita, na leo tunaiorodhesha hapa LSE ili kuwapa wawekezaji wanaozingatia uendelevu, fursa ya kuchangia mabadiliko huku wakipata faida nzuri ya uwekezaji wao,” Bi Zaipuna alieleza.
Bi Zaipuna alisema masoko ya kimataifa yanaiwezesha benki hiyo kuwa na wigo mpana wa kupata fedha kwa ajili ya kufadhili miradi inayosaidia kuboresha maisha, kubadilisha jamii na kuwa na mustakabali bora kwa watu wote.
“Mafanikio haya kipekee yanadhihirisha imani waliyokuwa nayo wawekezaji wa Kitanzania na Kimataifa katika uthabiti wa Benki ya NMB na dhamira yake ya uendelevu katika utendaji wake, biashara, jamii na masuala ya mazingira,” Bi Zaipuna alisema.
#Viva Samia Viva , Viva Zaipuna Viva
Ila ni kweli hivi Kuna nini huko?Serikali huwa inaua vipaji vya hawa watu, such kind of individuals operate kwenye mazingira ya kisiasa. Aachwe huko huko anapo thrive
Huyu Ruth ndio nani hasa?View attachment 2993577

Ndio CEO wa NMB na dada wa TaifaHuyu Ruth ndio nani hasa?
Anaupiga mwingi sana huyu MamaView attachment 2993577

Toa location tukae sehemu nikupe shule huku tukipiga vitu. Kimasihara tu tunaeza fika mbali cheupeFaida zake ni zipi hapo maana naona mshadadio kama wote
Kwani haya yote anafanya yeye mbona Sifa zote ni kwake?Ndio CEO wa NMB na dada wa Taifa
Yeye ndio Ring rider, Kila wema au ubaya ni wake✍🏿Kwani haya yote anafanya yeye mbona Sifa zote ni kwake?