Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2993577
View attachment 2993578
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hatifungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) katika Soko la Hisa la London (LSE)
Hatua hiyo inaifanya Benki ya NMB kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kuwa na hatifungani katika soko hilo na Benki ya Kwanza Afrika Mashariki, Kati na Kusini kuorodhesha Hatifungani ya Uendelevu LSE.
Hati Fungani ya NMB Jamii inalenga kuchochea uwekezaji katika miradi yenye tija kijamii na kimazingira, na toleo la Dola za Kimarekani Milioni 73 ndio limeorodheshwa kwa wawekezaji wa LSE.
Kuorodheshwa kwa mara ya pili kwa NMB Jamii Bond katika masoko ya hisa ya kimataifa kunafuatia kuidhinishwa kwake mwezi jana kuuzwa katika Soko la Hisa la Luxembourg ambako pia hatifungani ya NMB Jasiri imekuwa ikifanya vizuri tangu iorodheshwe kwenye soko hilo mwaka jana.
Uzinduzi wa mauzo ya Hatifungani ya Jamii ulifanyika wakati wa ufunguzi wa shughuli za wiki hii za LSE, na kuhudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki; Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna; Mhazini wa NMB, Aziz Chacha; Afisa Mtendaji Mkuu wa LSE, Julia Hoggetts na viongozi wengine waandamizi kutoka Serikali ya Uingereza na taasisi mbalimbali.
“Tulianza kwa kuiorodhesha hatifungani hii katika Soko la Hisa la Dar es Salaam mwaka jana, Soko la Luxembourg mwezi uliopita, na leo tunaiorodhesha hapa LSE ili kuwapa wawekezaji wanaozingatia uendelevu, fursa ya kuchangia mabadiliko huku wakipata faida nzuri ya uwekezaji wao,” Bi Zaipuna alieleza.
Bi Zaipuna alisema masoko ya kimataifa yanaiwezesha benki hiyo kuwa na wigo mpana wa kupata fedha kwa ajili ya kufadhili miradi inayosaidia kuboresha maisha, kubadilisha jamii na kuwa na mustakabali bora kwa watu wote.
“Mafanikio haya kipekee yanadhihirisha imani waliyokuwa nayo wawekezaji wa Kitanzania na Kimataifa katika uthabiti wa Benki ya NMB na dhamira yake ya uendelevu katika utendaji wake, biashara, jamii na masuala ya mazingira,” Bi Zaipuna alisema.
#Viva Samia Viva , Viva Zaipuna Viva
Yuko vizuri Mrembo CEOYeye ndio Ring rider, Kila wema au ubaya ni wake✍🏿
Politics, kwenye private sector smart people wana thrive because wana uhuru wa ku practise new ideas. Kwenye gov lazima uendane na malengo ya taasis , kama hayaendani na innovation yako, basi utabaki hivyo hivyo. Hata kama mawazo yako ni revolutionaryIla ni kweli hivi Kuna nini huko?
Basi akitoka Samia apewe yeye ama namna gani?View attachment 2993577
View attachment 2993578
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hatifungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) katika Soko la Hisa la London (LSE)
Hatua hiyo inaifanya Benki ya NMB kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kuwa na hatifungani katika soko hilo na Benki ya Kwanza Afrika Mashariki, Kati na Kusini kuorodhesha Hatifungani ya Uendelevu LSE.
Hati Fungani ya NMB Jamii inalenga kuchochea uwekezaji katika miradi yenye tija kijamii na kimazingira, na toleo la Dola za Kimarekani Milioni 73 ndio limeorodheshwa kwa wawekezaji wa LSE.
Kuorodheshwa kwa mara ya pili kwa NMB Jamii Bond katika masoko ya hisa ya kimataifa kunafuatia kuidhinishwa kwake mwezi jana kuuzwa katika Soko la Hisa la Luxembourg ambako pia hatifungani ya NMB Jasiri imekuwa ikifanya vizuri tangu iorodheshwe kwenye soko hilo mwaka jana.
Uzinduzi wa mauzo ya Hatifungani ya Jamii ulifanyika wakati wa ufunguzi wa shughuli za wiki hii za LSE, na kuhudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki; Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna; Mhazini wa NMB, Aziz Chacha; Afisa Mtendaji Mkuu wa LSE, Julia Hoggetts na viongozi wengine waandamizi kutoka Serikali ya Uingereza na taasisi mbalimbali.
“Tulianza kwa kuiorodhesha hatifungani hii katika Soko la Hisa la Dar es Salaam mwaka jana, Soko la Luxembourg mwezi uliopita, na leo tunaiorodhesha hapa LSE ili kuwapa wawekezaji wanaozingatia uendelevu, fursa ya kuchangia mabadiliko huku wakipata faida nzuri ya uwekezaji wao,” Bi Zaipuna alieleza.
Bi Zaipuna alisema masoko ya kimataifa yanaiwezesha benki hiyo kuwa na wigo mpana wa kupata fedha kwa ajili ya kufadhili miradi inayosaidia kuboresha maisha, kubadilisha jamii na kuwa na mustakabali bora kwa watu wote.
“Mafanikio haya kipekee yanadhihirisha imani waliyokuwa nayo wawekezaji wa Kitanzania na Kimataifa katika uthabiti wa Benki ya NMB na dhamira yake ya uendelevu katika utendaji wake, biashara, jamii na masuala ya mazingira,” Bi Zaipuna alisema.
#Viva Samia Viva , Viva Zaipuna Viva
Upigaji pia unawafanya waloose confidence nadhani, Wanakuwa kama watu duni sanaPolitics, kwenye private sector smart people wana thrive because wana uhuru wa ku practise new ideas. Kwenye gov lazima uendane na malengo ya taasis , kama hayaendani na innovation yako, basi utabaki hivyo hivyo. Hata kama mawazo yako ni revolutionary
Toa yako itatosha,Toa location tukae sehemu nikupe shule huku tukipiga vitu. Kimasihara tu tunaeza fika mbali cheupe
Tunampongeza Madame CEOView attachment 2993577
View attachment 2993578
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hatifungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) katika Soko la Hisa la London (LSE)
Hatua hiyo inaifanya Benki ya NMB kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kuwa na hatifungani katika soko hilo na Benki ya Kwanza Afrika Mashariki, Kati na Kusini kuorodhesha Hatifungani ya Uendelevu LSE.
Hati Fungani ya NMB Jamii inalenga kuchochea uwekezaji katika miradi yenye tija kijamii na kimazingira, na toleo la Dola za Kimarekani Milioni 73 ndio limeorodheshwa kwa wawekezaji wa LSE.
Kuorodheshwa kwa mara ya pili kwa NMB Jamii Bond katika masoko ya hisa ya kimataifa kunafuatia kuidhinishwa kwake mwezi jana kuuzwa katika Soko la Hisa la Luxembourg ambako pia hatifungani ya NMB Jasiri imekuwa ikifanya vizuri tangu iorodheshwe kwenye soko hilo mwaka jana.
Uzinduzi wa mauzo ya Hatifungani ya Jamii ulifanyika wakati wa ufunguzi wa shughuli za wiki hii za LSE, na kuhudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki; Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna; Mhazini wa NMB, Aziz Chacha; Afisa Mtendaji Mkuu wa LSE, Julia Hoggetts na viongozi wengine waandamizi kutoka Serikali ya Uingereza na taasisi mbalimbali.
“Tulianza kwa kuiorodhesha hatifungani hii katika Soko la Hisa la Dar es Salaam mwaka jana, Soko la Luxembourg mwezi uliopita, na leo tunaiorodhesha hapa LSE ili kuwapa wawekezaji wanaozingatia uendelevu, fursa ya kuchangia mabadiliko huku wakipata faida nzuri ya uwekezaji wao,” Bi Zaipuna alieleza.
Bi Zaipuna alisema masoko ya kimataifa yanaiwezesha benki hiyo kuwa na wigo mpana wa kupata fedha kwa ajili ya kufadhili miradi inayosaidia kuboresha maisha, kubadilisha jamii na kuwa na mustakabali bora kwa watu wote.
“Mafanikio haya kipekee yanadhihirisha imani waliyokuwa nayo wawekezaji wa Kitanzania na Kimataifa katika uthabiti wa Benki ya NMB na dhamira yake ya uendelevu katika utendaji wake, biashara, jamii na masuala ya mazingira,” Bi Zaipuna alisema.
#Viva Samia Viva , Viva Zaipuna Viva
Upigaji ni small part sana, i worked on both sectors, one thing about gov yetu top bosses ni wana regular intelligence, watu wa kawaida mno upstairs. Lakin hao hao ndio wanasikilizwa, ukiwa smart kwenye gov office unapigwa vita. Hawangalii service track record yako, wanaangalia maslahi yao, wewe kuwa smart ni threat to position zaoUpigaji pia unawafanya waloose confidence nadhani, Wanakuwa kama watu duni sana
That's greatUkimtumikia Mungu na yeye atakuheshimisha huyu dada ni mtu wa Mungu Mlokole tangu anasoma
Aisee, now I understand Yuko jamaa mmoja anaitwa Somebody Paschal alikuwa NMB akaenda TADB Leo Yuko dumpt tu pale MOF,Upigaji ni small part sana, i worked on both sectors, one thing about gov yetu top bosses ni wana regular intelligence, watu wa kawaida mno upstairs. Lakin hao hao ndio wanasikilizwa, ukiwa smart kwenye gov office unapigwa vita. Hawangalii service track record yako, wanaangalia maslahi yao, wewe kuwa smart ni threat to position zao
In private instituon perfomance yako itakubeba, and this is where such people wana thrive
Kila siku tunasema wachaga si wa kuwapa nchi,wao ukabila tu na hawana hayaWala Kimei hakuwa mzuri basi tu upepo wa Pesa, Aliendekeza Ukabila wa Kutisha yule mzee
Hongera NMBView attachment 2993577
View attachment 2993578
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hatifungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) katika Soko la Hisa la London (LSE)
Hatua hiyo inaifanya Benki ya NMB kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kuwa na hatifungani katika soko hilo na Benki ya Kwanza Afrika Mashariki, Kati na Kusini kuorodhesha Hatifungani ya Uendelevu LSE.
Hati Fungani ya NMB Jamii inalenga kuchochea uwekezaji katika miradi yenye tija kijamii na kimazingira, na toleo la Dola za Kimarekani Milioni 73 ndio limeorodheshwa kwa wawekezaji wa LSE.
Kuorodheshwa kwa mara ya pili kwa NMB Jamii Bond katika masoko ya hisa ya kimataifa kunafuatia kuidhinishwa kwake mwezi jana kuuzwa katika Soko la Hisa la Luxembourg ambako pia hatifungani ya NMB Jasiri imekuwa ikifanya vizuri tangu iorodheshwe kwenye soko hilo mwaka jana.
Uzinduzi wa mauzo ya Hatifungani ya Jamii ulifanyika wakati wa ufunguzi wa shughuli za wiki hii za LSE, na kuhudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki; Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna; Mhazini wa NMB, Aziz Chacha; Afisa Mtendaji Mkuu wa LSE, Julia Hoggetts na viongozi wengine waandamizi kutoka Serikali ya Uingereza na taasisi mbalimbali.
“Tulianza kwa kuiorodhesha hatifungani hii katika Soko la Hisa la Dar es Salaam mwaka jana, Soko la Luxembourg mwezi uliopita, na leo tunaiorodhesha hapa LSE ili kuwapa wawekezaji wanaozingatia uendelevu, fursa ya kuchangia mabadiliko huku wakipata faida nzuri ya uwekezaji wao,” Bi Zaipuna alieleza.
Bi Zaipuna alisema masoko ya kimataifa yanaiwezesha benki hiyo kuwa na wigo mpana wa kupata fedha kwa ajili ya kufadhili miradi inayosaidia kuboresha maisha, kubadilisha jamii na kuwa na mustakabali bora kwa watu wote.
“Mafanikio haya kipekee yanadhihirisha imani waliyokuwa nayo wawekezaji wa Kitanzania na Kimataifa katika uthabiti wa Benki ya NMB na dhamira yake ya uendelevu katika utendaji wake, biashara, jamii na masuala ya mazingira,” Bi Zaipuna alisema.
#Viva Samia Viva , Viva Zaipuna Viva
Dada apewe maua yake anawakimbiza sana wale ndg zangu C**BView attachment 2993577

Umeambiwa nenda kaliwe na wewe kitobo si unacho!?Nikweli mnaliwa sana kwenye betting acha kuharibu mada na ujuha wako
HatifunganiUzinduzi wa mauzo ya Hatifungani ya Jamii ulifanyika wakati wa ufunguzi wa shughuli za wiki hii za LSE,
Mzee wa kitobo kishaliwa?Ndio CEO wa NMB na dada wa Taifa