Wanawake wanaweza hatimaye tumevunja mwiko wa tangu uhuru NMB Jamii Bond yaanza kuuzwa London stock Exchange-UK

NMB mnajitahidi kwakweli
NMB kimataifa👏🏿👏🏿👏🏿
 
Huyu dada aongoze hii benki mpaka achoke yeye mwenyewe.
 
Hongera sana NMB
 
Niliwahi kusema hapa huyu dada anakitu Cha ziada, Hii NMB tangu aingie huyu Mama mambo ni mengi mapya na faida ni kubwa sana

Rais Samia angeweza kumwingiza Serikalini kama Waziri angeisaidia sana Serikali.
Mawazo ya kila mtu mzuri anatakiwa kuwa serikalini ni mawazo mufilisi.
 
Huyu dada aongoze hii benki mpaka achoke yeye mwenyewe.
Akiharibu atotolewa
Akipatakina mwingine bora kuliko yeye atatolewa pia
Akipata sehemu na nafasi nyingine bora kuliko NMB anaweza kuondoka pia.
 

Hawa wamama wanafanya vizuri sana,

Yuko
D Samia
Dkt Tulia
Mrs. Zaipuna
 
Hongera sana Zaipuna Ndg yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…