Wanawake wanaweza hatimaye tumevunja mwiko wa tangu uhuru NMB Jamii Bond yaanza kuuzwa London stock Exchange-UK

Wanawake wanaweza hatimaye tumevunja mwiko wa tangu uhuru NMB Jamii Bond yaanza kuuzwa London stock Exchange-UK

Cha kusikitisha ni umaskini wa Tanzania kushindwa kununua hizo bonds za miaka mitatu kwa fixed rate ya 9.5%.

Otherwise MNB kwa unyonyaji wanaowafanyia watanzania wana faida kubwa sana na debt to equity ratio ni ndogo sana.

MNB kama taasisi kwa capital reserves walizonazo hata wakikaguliwa na rating agency yeyote wapo A+, mtaji wanaoomba na capital reserve waliyonayo ni hela ndogo sana.

Sasa kwanini wazungu wakatae hii bonanza ya 9.5% wakati bonds nyingi huko kwako ni 5%. Kwanini MNB wanaweza lipa fixed rate ya juu ivyo, kwa sababu hizo hela wanakuja kuwakopesha watanzania kwa riba za ja ajabu.

Hakuna cha akili yoyote
Wazungu, wahindi na wenye akili wanapiga za 25 years ambazo zina average 15% +, hizo za miaka 3 ni hasara tupu na sababu kubwa ni inflation, nafikiri watanzania inabidi waelimishwe zaidi hizi markets maana wengi hawaelewi, watanzania wengi wanaoishi US wameshitukia hizi treasury bills/bonds za BOT sasa wanapiga pesa kimya kimya, ilikuwa kununua viwanja na kujenga sasa BOT ndio mpango wenyewe
 
Wazungu, wahindi na wenye akili wanapiga za 25 years ambazo zina average 15% +, hizo za miaka 3 ni hasara tupu na sababu kubwa ni inflation, nafikiri watanzania inabidi waelimishwe zaidi hizi markets maana wengi hawaelewi, watanzania wengi wanaoishi US wameshitukia hizi treasury bills/bonds za BOT sasa wanapiga pesa kimya kimya, ilikuwa kununua viwanja na kujenga sasa BOT ndio mpango wenyewe
Asie kumbe Kuna fursa kubwa hapahapa?
 
Andiko likishakuwa na elements za ufeminist automatically mimi huwa nalitoa thamani kwasababu linaonekana halina ajenda ya msingi zaidi ya propaganda za kushabikia mafanikio hewa ambayo yanaficha jitihada za wengine katika kufanikiwa kwa hilo jambo.

So unataka kunambia mleta uzi kuwa huyu dada ndie brain [emoji3447] ya kufanikiwa kwa NMB 100% .

Hiyo kufika nje ni kufanikiwa au ni step ya level nyingine ambayo inatakiwa kuprove mafanikio? Yaani mfano ukiwa unataka kuuza gari mteja akipiga simu anataka kuja kuicheki gari yako ili aamue kuinunua ama la unafungua champagne [emoji898] [emoji1635] na kusheherekea kuwa umeuza gari? [emoji848]

Halafu, kwenye utendaji wa NMB hakuna vijana wa kiume na watendaji wa kiume? [emoji848] Hawa wote umewaweka eneo gani katika huu ushindi?

Ndio maana wanaume tunakuwa very negative kwasababu wanawake mnaubinafsi sana. Na miaka hii tutawaletea mtiti wa moja kwa moja hamtaamini. Mkifanikiwa iwe ni kwa akili na jasho sio kwenye kuomba nyadhifa mnataka wanaume wawatengenezee njia halafu mkifanikiwa mnaanza kauli za madharau ooh wanawake this wanawake that. Mnakera na kuboa sana.

Mimi binafsi siwezi kusheherekea Mwanamke kaipaisha NMB sababu haina mantiki nzuri kwa jamii. Ila nitasema NMB kama Taasisi imepambana sana kufika mbali na kuwashinda NBC, CRDB na wengineo ili kujenga spirit ya kuchapa kazi sio spirit ya kuonyesha wanawake ni bora kuwashinda wanaume upumbavu wa karne.
 
NMB CRDB zinaendelea sababu ya serikali kupitisha mishahara kwao.
Ikiwekwa uhuru wa mtu kuchagua wapi apitishe hapo utaona mabadiliko
 
NMB CRDB zinaendelea sababu ya serikali kupitisha mishahara kwao.
Ikiwekwa uhuru wa mtu kuchagua wapi apitishe hapo utaona mabadiliko
Afu anakuja hapa analeta story zake za ufeminist me wananikera aisee. [emoji19]
 
MEHARIBU UZI.

UMEANDIKA Ki-femminist na haisadii!

Elon Mask anaenda juu ya dunia hajawahi kusema "WANAUME WANAWEZA"!

Haarland anapiga magoli sijasikia akisema wanaume wanaweza.
Marekani wana marais 46, hakuna mwanamke hata mmoja na "hawajawahi kusema WANAUME TUNAWEZA"

Ronaldo mpaka leo anaheza sijasikia akisema wanaume wanaweza!
SERENA Williams ameshinda Wimbledon, US Open , World champion "hajawahi kusema wanawake Tunaweza!

Kujielezea tunaweza maana yake tunajionyesha ni wanyonge.

Femminism is SATANISM.





Sijaona tatizo la mwandishi
 
Ushauri mzuri naamiñi wahusika watauchukua
Wazungu, wahindi na wenye akili wanapiga za 25 years ambazo zina average 15% +, hizo za miaka 3 ni hasara tupu na sababu kubwa ni inflation, nafikiri watanzania inabidi waelimishwe zaidi hizi markets maana wengi hawaelewi, watanzania wengi wanaoishi US wameshitukia hizi treasury bills/bonds za BOT sasa wanapiga pesa kimya kimya, ilikuwa kununua viwanja na kujenga sasa BOT ndio mpango wenyewe
 
Hatifungani

BENKI YA NMB PLC YATAMBULISHA BONDI ENDELEVU YA JAMII : KUELEKEZA UWEKEZAJI WENYE MGUSO KWA AJILI YA KESHO ENDELEVU.​

Iliyotumwa: 13 Mei 2024
Shiriki
View attachment 2993661

View attachment 2993726
Benki ya NMB Plc - Benki inayoongoza Tanzania kutoa huduma za kifedha kwa wateja mbalimbali kuanzia watu binafsi hadi makampuni makubwa.

Leo, kupitia kuorodheshwa kwake hapa katika Soko la Hisa la London ( London Stock Exchange), benki ya NMB inatoa kauli ya ujasiri katika dhamira yao ya kuongeza nguvu yake ya kifedha kwa manufaa zaidi.

NMB imejitolea kukuza ukuaji wa uchumi na maendeleo ya kijamii kwa kutoa huduma za kibenki zilizotengenezwa mahususi.

LSE inajivunia kuzindua uorodheshaji wa Dhamana ya Uendelevu yaani hatifungani NMB-Jamii, bond ya kwanza cha kifedha ilichoundwa ili kuchochea uwekezaji katika miradi inayoleta manufaa yanayoonekana ya kijamii na kimazingira.

Mtaji uliopatikana kwa kujiunga na soko la LSE ni Dola za Kimarekani Milioni 73 na unawiana na juhudi za kimataifa za kushughulikia changamoto za uendelevu na kujenga jamii yenye uthabiti na jumuishi pia shirikishi zaidi, kuwawezesha wawekezaji na fursa ya kuzalisha mapato ya kifedha huku wakileta matokeo ya maana.

Hii ni hatifungani / bond (dhamana) ya kwanza ya Uendelevu katika ukanda wa Afrika Mashariki.


"Katika Benki ya NMB, tunatambua jukumu muhimu la fedha katika kuleta maendeleo endelevu na kutatua changamoto tata zinazoikabili dunia yetu na jamii," alisema Bi. Ruth Zaipuna, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc.

Alipongeza zaidi kazi iliyofanywa na washauri wa miamala, mhasibu wa kuripoti; washauri wa kisheria, na wakala (brokers) wanaotoa usaidizi katika ununuzi wa hatifungani kwa michango yao muhimu katika kufanikisha sisi NMB kuingia katika soko la shughuli hii hatifungani kimataifa.

Benki ya NMB kama taasisi ya fedha inayoongoza Tanzania iliyoorodheshwa kwenye Soko la Hisa la Dar es salaam (Mtaji wa Soko wa takriban Dola za Kimarekani Bilioni 1), Benki ya NMB Plc imeendelea kujitolea katika kuendeleza maendeleo endelevu na kukuza uwajibikaji wa uwekezaji, huku kukiwa na hakikisho la uwajibikaji katika kuweka tathmini ya athari, na utoaji wa taarifa sahihi kwa uwazi.

Source : London Stock Exchange | London Stock Exchange

Habari zaidi na habari za hivi punde zinaweza kupatikana kwenye tovuti yetu katika NMB Bank Plc - Tovuti Rasmi
Safi sana NMB tukaze But I sasa ili tufike mpaka NY stock exchange
 
View attachment 2993577
View attachment 2993578
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.

Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hatifungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) katika Soko la Hisa la London (LSE)

Hatua hiyo inaifanya Benki ya NMB kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kuwa na hatifungani katika soko hilo na Benki ya Kwanza Afrika Mashariki, Kati na Kusini kuorodhesha Hatifungani ya Uendelevu LSE.

Hati Fungani ya NMB Jamii inalenga kuchochea uwekezaji katika miradi yenye tija kijamii na kimazingira, na toleo la Dola za Kimarekani Milioni 73 ndio limeorodheshwa kwa wawekezaji wa LSE.

Kuorodheshwa kwa mara ya pili kwa NMB Jamii Bond katika masoko ya hisa ya kimataifa kunafuatia kuidhinishwa kwake mwezi jana kuuzwa katika Soko la Hisa la Luxembourg ambako pia hatifungani ya NMB Jasiri imekuwa ikifanya vizuri tangu iorodheshwe kwenye soko hilo mwaka jana.

Uzinduzi wa mauzo ya Hatifungani ya Jamii ulifanyika wakati wa ufunguzi wa shughuli za wiki hii za LSE, na kuhudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki; Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna; Mhazini wa NMB, Aziz Chacha; Afisa Mtendaji Mkuu wa LSE, Julia Hoggetts na viongozi wengine waandamizi kutoka Serikali ya Uingereza na taasisi mbalimbali.

“Tulianza kwa kuiorodhesha hatifungani hii katika Soko la Hisa la Dar es Salaam mwaka jana, Soko la Luxembourg mwezi uliopita, na leo tunaiorodhesha hapa LSE ili kuwapa wawekezaji wanaozingatia uendelevu, fursa ya kuchangia mabadiliko huku wakipata faida nzuri ya uwekezaji wao,” Bi Zaipuna alieleza.

Bi Zaipuna alisema masoko ya kimataifa yanaiwezesha benki hiyo kuwa na wigo mpana wa kupata fedha kwa ajili ya kufadhili miradi inayosaidia kuboresha maisha, kubadilisha jamii na kuwa na mustakabali bora kwa watu wote.

“Mafanikio haya kipekee yanadhihirisha imani waliyokuwa nayo wawekezaji wa Kitanzania na Kimataifa katika uthabiti wa Benki ya NMB na dhamira yake ya uendelevu katika utendaji wake, biashara, jamii na masuala ya mazingira,” Bi Zaipuna alisema.

#Viva Samia Viva , Viva Zaipuna Viva
Zaipuna we love Madame CEO
 
Niliwahi kusema hapa huyu dada anakitu Cha ziada, Hii NMB tangu aingie huyu Mama mambo ni mengi mapya na faida ni kubwa sana

Rais Samia angeweza kumwingiza Serikalini kama Waziri angeisaidia sana Serikali.
Huyo hatikiwi serikalini atachafuka(spoil).Anatakiwa kwa private sector.Yaani huyo aende akaanze kupambana hoja hoja za akina Msukuma kweli?
 
Nadhani Africa hakuna historia ya kumyanyaswa ke. Kuna Malkia Nziga , Malkia Sheba, yule wa Kigoma etc. Hiko magharibi ndio shida hata leo USA hawato tayari kumpa ke uraisi. Hivyo tuwe macho na kampeni zao.
 
Back
Top Bottom