Wanawake wanaweza hatimaye tumevunja mwiko wa tangu uhuru NMB Jamii Bond yaanza kuuzwa London stock Exchange-UK

Wazungu, wahindi na wenye akili wanapiga za 25 years ambazo zina average 15% +, hizo za miaka 3 ni hasara tupu na sababu kubwa ni inflation, nafikiri watanzania inabidi waelimishwe zaidi hizi markets maana wengi hawaelewi, watanzania wengi wanaoishi US wameshitukia hizi treasury bills/bonds za BOT sasa wanapiga pesa kimya kimya, ilikuwa kununua viwanja na kujenga sasa BOT ndio mpango wenyewe
 
Asie kumbe Kuna fursa kubwa hapahapa?
 
Mambo ya viva Samia ni upumbavu daraja la kwanza. Samia kahusikaje kwenye utendaji wa NMB?
 
Andiko likishakuwa na elements za ufeminist automatically mimi huwa nalitoa thamani kwasababu linaonekana halina ajenda ya msingi zaidi ya propaganda za kushabikia mafanikio hewa ambayo yanaficha jitihada za wengine katika kufanikiwa kwa hilo jambo.

So unataka kunambia mleta uzi kuwa huyu dada ndie brain [emoji3447] ya kufanikiwa kwa NMB 100% .

Hiyo kufika nje ni kufanikiwa au ni step ya level nyingine ambayo inatakiwa kuprove mafanikio? Yaani mfano ukiwa unataka kuuza gari mteja akipiga simu anataka kuja kuicheki gari yako ili aamue kuinunua ama la unafungua champagne [emoji898] [emoji1635] na kusheherekea kuwa umeuza gari? [emoji848]

Halafu, kwenye utendaji wa NMB hakuna vijana wa kiume na watendaji wa kiume? [emoji848] Hawa wote umewaweka eneo gani katika huu ushindi?

Ndio maana wanaume tunakuwa very negative kwasababu wanawake mnaubinafsi sana. Na miaka hii tutawaletea mtiti wa moja kwa moja hamtaamini. Mkifanikiwa iwe ni kwa akili na jasho sio kwenye kuomba nyadhifa mnataka wanaume wawatengenezee njia halafu mkifanikiwa mnaanza kauli za madharau ooh wanawake this wanawake that. Mnakera na kuboa sana.

Mimi binafsi siwezi kusheherekea Mwanamke kaipaisha NMB sababu haina mantiki nzuri kwa jamii. Ila nitasema NMB kama Taasisi imepambana sana kufika mbali na kuwashinda NBC, CRDB na wengineo ili kujenga spirit ya kuchapa kazi sio spirit ya kuonyesha wanawake ni bora kuwashinda wanaume upumbavu wa karne.
 
NMB CRDB zinaendelea sababu ya serikali kupitisha mishahara kwao.
Ikiwekwa uhuru wa mtu kuchagua wapi apitishe hapo utaona mabadiliko
 
NMB CRDB zinaendelea sababu ya serikali kupitisha mishahara kwao.
Ikiwekwa uhuru wa mtu kuchagua wapi apitishe hapo utaona mabadiliko
Afu anakuja hapa analeta story zake za ufeminist me wananikera aisee. [emoji19]
 
 
Ushauri mzuri naamiñi wahusika watauchukua
 
Safi sana NMB tukaze But I sasa ili tufike mpaka NY stock exchange
 
Zaipuna we love Madame CEO
 
Niliwahi kusema hapa huyu dada anakitu Cha ziada, Hii NMB tangu aingie huyu Mama mambo ni mengi mapya na faida ni kubwa sana

Rais Samia angeweza kumwingiza Serikalini kama Waziri angeisaidia sana Serikali.
Huyo hatikiwi serikalini atachafuka(spoil).Anatakiwa kwa private sector.Yaani huyo aende akaanze kupambana hoja hoja za akina Msukuma kweli?
 
Nadhani Africa hakuna historia ya kumyanyaswa ke. Kuna Malkia Nziga , Malkia Sheba, yule wa Kigoma etc. Hiko magharibi ndio shida hata leo USA hawato tayari kumpa ke uraisi. Hivyo tuwe macho na kampeni zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…