Wanawake wanene (vibonge) piteni hapa mchukue maua yenu

Wanawake wanene (vibonge) piteni hapa mchukue maua yenu

Daah! Nilienda nchi moja wanawake vimiili vidogo hata mzuka nikakosa.Mungu fundi ndani ya mwezi mmoja nikakutana na bonge sehemu ya kula.Nikasema hapa hata udomo zege napiga chini lazima nimuibukie. Basi buana ndiyo kama hivyo, Vibonge wote dhambi zenu na misalaba tunaibebe ila kwa wale wasafi pekee.
🤣🤣🤣🤣 ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona, sio jambo la busara kesho kwa mungu tuchomwe moto kwa kosa la kuzini na tudada twembamba
 
Kuna mmoja nilikuwa naye jana kanipasua fifty sema naona kama nimemuibia mtoto mweupee trako laine kama mlenda mungu anajua kuumba nyie kuna mda kanambia baby nichue mkono unauma nimeshika mkono tu mix by yas inasoma 5G dah ila lile toto halafu linavyojua kudeka sasa.
😆😆😆Malaika wakalukleti dhambi za vibonge wote watupe sisi mashabiki zao tutazibeba.
 
Back
Top Bottom