Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Itoshe kusema nyie ni viboko wa nchi kavu 😹😹😹Mimi 86 kg
Dada 100's kg
Mama 100's kg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itoshe kusema nyie ni viboko wa nchi kavu 😹😹😹Mimi 86 kg
Dada 100's kg
Mama 100's kg
Jambo la heri sana.Njema kabisa
AmeenJambo la heri sana.
amenAmeen
Kuwa na kilo 95 haina maana ni overweight ndio maana kuna BMI calculation. Height Vs Weight.Mimi naonaga labda ni mifupa sababu dada yangu sioni kama ni mnene ila ni giant kama irene uwoya, mimi pia nikijiangalia kwenye kioo sijioni kibonge
Kwani una kitambi?😂
Mechi ya hawa hakuna kupoa ni bandika bandua. Hawa ndio wanahitaji mazoezi ya kutosha na mlo mzuri vinginevyo you'll be in trouble.
Acha kudanganya raia wewe sio slim wala kibonge.Tumetengwa 😀
🙁Aww thats so sweet. Nalia machozi ya furaha.🥰🥰🥰
😅😅😅😅😅😅
😩😅😅😅😅😅😅
Profesa janabi hebu niache kidogo napokea maua yangu hapa😅😅😅
Nipo nauza hapa dawa ya kisukari, nguvu za kike piaProfesa janabi hebu niache kidogo napokea maua yangu hapa😅😅😅
Nguvu za kike zipo za kumwagaNipo nauza hapa dawa ya kisukari, nguvu za kike pia
Daah! Nilienda nchi moja wanawake vimiili vidogo hata mzuka nikakosa.Mungu fundi ndani ya mwezi mmoja nikakutana na bonge sehemu ya kula.Nikasema hapa hata udomo zege napiga chini lazima nimuibukie. Basi buana ndiyo kama hivyo, Vibonge wote dhambi zenu na misalaba tunaibebe ila kwa wale wasafi pekee.Bila salamu.
MTAANI.
Ukweli iko wazi wakipita wanawake 15 wembamba mbele ya wanaume, wanaume tutageuka mara moja tu na kuendelea na shughuli zetu.
Lakini ukipita wewe chibonge mmoja tu mbele ya wanaume kwa hakika shughuli za eneo hilo zitasimama hadi pale utakapopotela unakoenda.
NDANI
Ukiwa umepiga nguo yoyote ile ulale, ukae, usimame, utembee yaani inakuwa ni burudani tupu kwa mwanaume (ndiyo sababu wanaume wenye wanawake vibonge wengi hupenda kukaa homu )
KITANDANI
Hapa ndiyo usiguse kabisaa..
Mimi siku nikimpata demu bonge huwa nachota zangu maji kwenye jagi naweka chumbani, maana bila hivyo naweza kufa kwa kiu maana nyinyi watu (vibonge) humfaya mwanaume aende raundi nyingi kuliko uwezo wake wa kawaida.
Yaani ukiona 5G imepanda, ukipapasa minyama 5G imepanda, ukiingia katikati ya mapaja ndiyo mamaaa nahisi hadi 10G hupanda.
Binafsi nikienda mahali ugenini, hata hapo mtaani pawe na wanawake wakawaida 900 akiwepo chibonge mmoja tu ndiyo nitadili nae na ni lazima nitampata tu.
Nisiwachoshe ni usiku sasa Mungu Ibariki Tanzania, Mungu wabariki Vibonge
Nauza dawa zake njoo PM. UtanishukuruNguvu za kike zipo za kumwaga
Wanawake wanene✅️Watu wanene❌️ wamefikiwa daah
🤣🤣🤣🤣Profesa janabi hebu niache kidogo napokea maua yangu hapa😅😅😅