bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,100
- 2,491
Nachukua yeboyebo hapa naanza mbio 😄Karibu kula
Kula taraatiiibu sitaki upaliwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachukua yeboyebo hapa naanza mbio 😄Karibu kula
Aww thats so sweet. Nalia machozi ya furaha.🥰🥰🥰Ni ya kweli kabisa mamake. Nimefurahi sana uliposema kuwa una sijui kilo 93 maana huwa nakuchukulia poa. There is nothing more beautiful in this universe than a full-bodied curvy African woman like you. Halafu awe anajitambua na kujikubali sasa dah! ❤️❤️❤️❤️
View attachment 3214946
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aww thats so sweet. Nalia machozi ya furaha.🥰🥰🥰
Juu wanene chini hamna kitu😂😂😂ndo kupoje huko?
Duh kumbe ni 'P'Juu wanene chini hamna kitu😂😂😂
Shimba ya Buyenze ya kweli haya?
hahaa ndo maana mnakataa ndoa?Juu wanene chini hamna kitu😂😂😂
What are you trying to prove? You are not going to change anyone's preferences by just posting a bunch of useless starving girls. Agree to disagree and march forward....
You must be extremely gojazi.95😭😭
Ni kama huyu wa kushoto kutoka Kibororoni? 😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️hahaa ndo maana mnakataa ndoa?
ila kwenye mtindi mnakuwa mmependelewa
Sisi tulio wanene juu chini wembamba tupo kwenye hiyo list?Sijakupata kiongozi
Ha haaa lohYou must be extremely gojazi.
Naanza kukufuatilia rasmi kuanzia leo! 😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
watoto watanyonya vizuri, watashiba.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣umeufanya usiku wangu kuwa mzurii kabisa😂😂😂😂Duh kumbe ni 'P'
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aii mshamba that’s too personal bwana😂😂😂😂😂😂😂😂😂hahaa ndo maana mnakataa ndoa?
ila kwenye mtindi mnakuwa mmependelewa
Tuko wengi, ila kwangu zilizo active ni more than 10, the oldest ni ya 2007.id ya mwanzo ilitiwa nguvuni maisha nikaja kivingine
sema ledada wewe mtu wa maana kabisa sijawahi kukupinga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aii mshamba that’s too personal bwana😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tumependelewa T mbili
Mh P kwangu mimi hapana, huwa naihurumia sana miguu yenu myembamba vile imebeba mzigo mzito.Sisi tulio wanene juu chini wembamba tupo kwenye hiyo list?
hata hii walishaila kichwa wiki kifungoniTuko wengi, ila kwangu zilizo active ni more than 10, the oldest ni ya 2007.
🤮🤮🤮🤮Ni ya kweli kabisa mamake. Nimefurahi sana uliposema kuwa una sijui kilo 93 maana huwa nakuchukulia poa. There is nothing more beautiful in this universe than a full-bodied curvy African woman like you. Halafu awe anajitambua na kujikubali sasa dah! ❤️❤️❤️❤️
View attachment 3214946