Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
- Thread starter
- #201
Mimi kama hivi hata uniwekee 20 kwenye fungu moja halafu fungu la pill uniwekee bonge mmoja tu, naenda na ChibongeSlim body at it's finest.
View attachment 3214853
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kama hivi hata uniwekee 20 kwenye fungu moja halafu fungu la pill uniwekee bonge mmoja tu, naenda na ChibongeSlim body at it's finest.
View attachment 3214853
Sijakupata kiongoziHata sisi vibonge tuliokulia juu chini kuna moto?😂
Sijawai penda kua mwembamba umenizid kilo mojaa..Mimi 86 kg
Dada 100's kg
Mama 100's kg
sio mbaya 86kg kunavitu flaniflani umevikosa kufika 100kg njoo kwa wazee tukupokee kwa mikono miwili binti yanguMimi 86 kg
Dada 100's kg
Mama 100's kg
Upo kama mimi sipendi kua mwembamba, mtu akiniambia nimepungua huwa naongeza kula.Sijawai penda kua mwembamba umenizid kilo mojaa..
Napenda ubonge.
Humu mtu akisema yeye ni mzee huwa naangalia kajiunga lini, sasa wewe 2019 si kijana mbichi tusio mbaya 86kg kunavitu flaniflani umevikosa kufika 100kg njoo kwa wazee tukupokee kwa mikono miwili binti yangu
Mimi nilikua mwembamba Sana zamani..Upo kama mimi sipendi kua mwembamba, mtu akiniambia nimepungua huwa naongeza kula.
SaaaafiiiiVipotabo popote mlipo muwe na usiku mwema, nyie matipwatipwa tetema na mishale kama dada wa taifa liwakute lolote la kuwaharibia usiku.
Subiri nipunguze watu ili niongezekeMimi nilikua mwembamba Sana zamani..
Nilipo acha kutembea na watu/ vitu kichwani mwili ulikuja.
Akili ikitakata na MWILI unatakata automatically.
id ya mwanzo ilitiwa nguvuni maisha nikaja kivingineHumu mtu akisema yeye ni mzee huwa naangalia kajiunga lini, sasa wewe 2019 si kijana mbichi tu
Ephen umepunguaa 😂😂Upo kama mimi sipendi kua mwembamba, mtu akiniambia nimepungua huwa naongeza kula.
Duuh tunatofautiana kweli. Mimi mwanamke akiwa mwembamba hana nyama namuona kama mwanaume mwenzagu tu. Ataniona shoga sababu sitakaa hata nimtanie kuhusu mapenzi.Hayo mapingili mapajani natapika🤮🤮, dah kinyaa.
Kwamba oven lazma uiwike heheeHata sisi vibonge tuliokulia juu chini kuna moto?😂
Shimba ya Buyenze hata waruhusu muende na hataki mpungue hata robo kilo...maneno sio yangu ya Shimba hayo 😂Kipenzi twende Gym
Umeongea kwa mvunjiko wa moyo ule mkuu kabisa 😅Sisi wengine lolote litukute sio😃😃
Shimba ya Buyenze ya kweli haya?Shimba ya Buyenze hata waruhusu muende na hataki mpungue hata robo kilo...maneno sio yangu ya Shimba hayo 😂
Basi wewe ni mzee mkorofi!id ya mwanzo ilitiwa nguvuni maisha nikaja kivingine
Karibu kulaEphen umepunguaa 😂😂
Haya kale sasaa 🤣🤣
Ni ya kweli kabisa mamake. Nimefurahi sana uliposema kuwa una sijui kilo 93 maana huwa nakuchukulia poa. There is nothing more beautiful in this universe than a full-bodied curvy African woman like you. Halafu awe anajitambua na kujikubali sasa dah! ❤️❤️❤️❤️Shimba ya Buyenze ya kweli haya?