Wanawake wanene (vibonge) piteni hapa mchukue maua yenu

🀣🀣🀣🀣 ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona, sio jambo la busara kesho kwa mungu tuchomwe moto kwa kosa la kuzini na tudada twembamba
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Malaika wakalukleti dhambi za vibonge wote watupe sisi mashabiki zao tutazibeba.
 
Duuh tunatofautiana kweli. Mimi mwanamke akiwa mwembamba hana nyama namuona kama mwanaume mwenzagu tu. Ataniona shoga sababu sitakaa hata nimtanie kuhusu mapenzi.

Kuuumbeeee....!!!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ndiooo maaanaaaa.....!!!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜….

Takwenyaaa, habaariii ikoo baba yeyooo πŸ˜‰.

Happy New Year. 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…