Wanawake wanene (vibonge) piteni hapa mchukue maua yenu

Vipotabo popote mlipo muwe na usiku mwema, nyie matipwatipwa tetema na mishale kama dada wa taifa liwakute lolote la kuwaharibia usiku.
Kuna mahali nilisoma mwanasaikolojia anasema,

zamani kipindi marekani ni maskini, watu walipenda ke wanene kwasababu waliona unene kama afya nzuri, umaskini unafanya uone kula sana ni vizuri

Nadhani ndo kinachoendelea bongo.
 
Huyo mwanasaikolojia yupo sahihi sana ni kama kudhani kuwa wenye vitambi ni matajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…