To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Jamani,ishakuwa skeleton?Sasa unataka uwachome wenzio na mifupa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani,ishakuwa skeleton?Sasa unataka uwachome wenzio na mifupa?
Ah unadhani ni kipanga basi!
The second one looks perfect 😁
Is To yeye ..Be you?Jamani,ishakuwa skeleton?
I thought you changed your usernameNopee,what did you want to say?
Asili asilii😁manka punguza kilo lasivyo wachaga tutaendelea kudharaulika
Sahihi Mkuu, Kuna mmoja ilikuwa anakuja geto mida ya saa mbili tatu hivi naiti, halafu inanilazimu nimsindikize kwao kuanzia saa tano hadi sita, (kwao ni doncho huko nyumba iko moja tu) banae ndani ya huo muda nilikuwa naenda kuanzia raundi nne tano hadi sita (ni nje ya uwezo wangu wa kawaida ndani ya muda mfupi kama huu)Kwa kweli kuna kaukweli,na ukitaka ufwaidi vizuri huyo kibonge wako asiwe na mtumbo mkubwa na K isiwe na harufu afu huyo bonge awe msafi.utakula mbususu mpaka akubebe mgongoni ukiwa hujitambui.
Unauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali? 😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️Kwa hiyo wenye kilo 75 kurudi chini tuuliwe?
Kiingereza sielewi Mkuu ila kama unamaanisha nichugue mmoja hapo naenda na huyo wa juuThe second one looks perfect 😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
daah sijui kwann ila mm hawa watu siwaaminigi kabisa aiseeMkuu kuna wasafi,wanajifukiza udi sijui marashi ya zanzibar yale.
Unamkumbatia viganja havikutani😂😂Kiingereza sielewi Mkuu ila kama unamaanisha nichugue mmoja hapo naenda na huyo wa juu
Kushoto ni pie 22/7
haahaa vina mdomo ivo utazani vimemeza kaseti
Eee mkuu halafu nikiwa nasex na chibonge huwa najiona ni mwanaume niliyetimia.Unamkumbatia viganja havikutani😂😂
I don't like your taste
Na roho mbaya na kisirani sasa dah! Ni mtihani sana kwa kweli! Na hapa bado hujamzungumzia Mchungaji Mashimo! 🙈🏃🏿♂️🏃🏿♂️haahaa vina mdomo ivo utazani vimemeza kaseti
Maua wapewe kwa kipi sasa
Nicheki dm mremboNapenda unene tatizo
mbona wao wako busy, kupunguza uzito ili wawe portable, na ndyo mahitaji ya wanaume walio wengi, me included!Bila salamu.
MTAANI.
Ukweli iko wazi wakipita wanawake 15 wembamba mbele ya wanaume, wanaume tutageuka mara moja tu na kuendelea na shughuli zetu.
Lakini ukipita wewe chibonge mmoja tu mbele ya wanaume kwa hakika shughuli za eneo hilo zitasimama hadi pale utakapopotela unakoenda.
NDANI
Ukiwa umepiga nguo yoyote ile ulale, ukae, usimame, utembee yaani inakuwa ni burudani tupu kwa mwanaume (ndiyo sababu wanaume wenye wanawake vibonge wengi hupenda kukaa homu )
KITANDANI
Hapa ndiyo usiguse kabisaa..
Mimi siku nikimpata demu bonge huwa nachota zangu maji kwenye jagi naweka chumbani, maana bila hivyo naweza kufa kwa kiu maana nyinyi watu (vibonge) humfaya mwanaume aende raundi nyingi kuliko uwezo wake wa kawaida.
Yaani ukiona 5G imepanda, ukipapasa minyama 5G imepanda, ukiingia katikati ya mapaja ndiyo mamaaa nahisi hadi 10G hupanda.
Binafsi nikienda mahali ugenini, hata hapo mtaani pawe na wanawake wakawaida 900 akiwepo chibonge mmoja tu ndiyo nitadili nae na ni lazima nitampata tu.
Nisiwachoshe ni usiku sasa Mungu Ibariki Tanzania, Mungu wabariki Vibonge