Hili swali nimeona nililete hapa jukwaani,
Huyu dogo nadhani atakua kwenye utafiti maana hajaoa ndio anatarajia ajifunge kitanzi mwakani.
Je, katika kuuliza juu ya wanawake kutoka kwa Wanyaturu, Wanyiramba na Warangi kama ni watulivu ama namna gani.
Kila mmoja pale alijibu la kwake
Mfano mzee Mwambalaswa yeye kasema ni warembo na sio wachoyo kwa yeyote.
Hasa tusaidiane mawazo hizo jamii Wana tabia za namna gani,