Wanawake Wanyaturu , Wanyiramba na Warangi wametulia na wavumilivu kwenye ndoa?

Hili swali nimeona nililete hapa jukwaani,

Huyu dogo nadhani atakua kwenye utafiti maana hajaoa ndio anatarajia ajifunge kitanzi mwakani.

Je, katika kuuliza juu ya wanawake kutoka kwa Wanyaturu, Wanyiramba na Warangi kama ni watulivu ama namna gani.

Kila mmoja pale alijibu la kwake
Mfano mzee Mwambalaswa yeye kasema ni warembo na sio wachoyo kwa yeyote.

Hasa tusaidiane mawazo hizo jamii Wana tabia za namna gani,

Nitumie wote 3 ntakujurisha. Waislam wanaruhusiwa 4
 
Sema waha usafi ni 0.
Halafu sio hata kusema ni uvumilivu, wanatoka mkoa ambao kuna umasikini uliokithiri, hivyo wanapokuja mjini haoni tabu kuishi maisha ya chini cause wanajua namna ya ku survive.

Shida hazina mvumilivu.
Mkuu hiyo siyo sababu! Wanawake wa Kiha wamefundwa kikweli kweli.
Wao hawana msamiati wa kushindwa katika ndoa.
 
Kwanza ufahamu kuwa wanyaturu wanyaturu gani unawazungumzia kwa mukhtadha huo, kuna wairwana huko singida kaskazini, wahi singida kusini na wanying'anyi singida mashariki.ukitaka kuoa unaambia kaoe wairwana ni wavumilivu kwenye ndoa
Wavumilivu kwenye ndoa.....kwani unaenda kumtesa mtoto wa watu hadi utafute mtu mvumilivu

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Dogo ana miaka 23 kwahiyo aachane nao au
Yaani mtu amefikia umri wa kuoa anaanza kuuliza maswali kama hayo, atakuwa na changamoto sana. Kuna wanawake wa kutoka hayo makabila na wametulia vizuri tu, na kuna wa kutoka makabila yanayosifiwa kuwa ni wazuri na wanakuwa pasua kichwa. Yeye kama kapata mchumba ni wajibu wake amchunguze na ajiridhishe.
 
Mkuu mwambie uyo dogo kwamba Kila kabila lina malaya na malaika ivyo inategemeana na karata amezichanga vipi
“Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana. ”
— Mithali 19:14
 
Wanyiramba wabinafsi, pia Wagomvi sana. Mnyaturu ndio chaguo bora, wapole na wavumilivu sana
 
Hili swali nimeona nililete hapa jukwaani,

Huyu dogo nadhani atakua kwenye utafiti maana hajaoa ndio anatarajia ajifunge kitanzi mwakani.

Je, katika kuuliza juu ya wanawake kutoka kwa Wanyaturu, Wanyiramba na Warangi kama ni watulivu ama namna gani.

Kila mmoja pale alijibu la kwake
Mfano mzee Mwambalaswa yeye kasema ni warembo na sio wachoyo kwa yeyote.

Hasa tusaidiane mawazo hizo jamii Wana tabia za namna gani,
Nyie mnapewaje ndugu zanguni? Mimi sijawahi pewa na hizo jamii japo nabembelezaga sana. Labda nikitoboka hela
 
Hili swali nimeona nililete hapa jukwaani,

Huyu dogo nadhani atakua kwenye utafiti maana hajaoa ndio anatarajia ajifunge kitanzi mwakani.

Je, katika kuuliza juu ya wanawake kutoka kwa Wanyaturu, Wanyiramba na Warangi kama ni watulivu ama namna gani.

Kila mmoja pale alijibu la kwake
Mfano mzee Mwambalaswa yeye kasema ni warembo na sio wachoyo kwa yeyote.

Hasa tusaidiane mawazo hizo jamii Wana tabia za namna gani,
Na wana huruma sana jirani akiwa na njaa akaomba hawamnyimi kabisa
 
Kabila halidetermine tabia ya mtu hebu mkue sasa, kila jamii ya binadamu ina watu wenye kila tabia huwezi kugeneralize group la watu kwa tabia za watu wachache uliokutana nao wewe! Jamii yoyote ni complex na kila mtu ana tabia yake! Hizo ndoa zinazovunjika kila siku na machangudoa waliojaa kila kona ya jiji ni hayo makabila tu?
usipotoshe we jamaa, usije ukamponza mwenzio akajichanganya watamvuruga hadi atakua chizi
 
Hili swali nimeona nililete hapa jukwaani,

Huyu dogo nadhani atakua kwenye utafiti maana hajaoa ndio anatarajia ajifunge kitanzi mwakani.

Je, katika kuuliza juu ya wanawake kutoka kwa Wanyaturu, Wanyiramba na Warangi kama ni watulivu ama namna gani.

Kila mmoja pale alijibu la kwake
Mfano mzee Mwambalaswa yeye kasema ni warembo na sio wachoyo kwa yeyote.

Hasa tusaidiane mawazo hizo jamii Wana tabia za namna gani,
Utakua umeleweshwa ugoro wenye kinyesi cha ngombe
 
Back
Top Bottom