Wanawake Wanyaturu , Wanyiramba na Warangi wametulia na wavumilivu kwenye ndoa?

Wanawake Wanyaturu , Wanyiramba na Warangi wametulia na wavumilivu kwenye ndoa?

Sikuiti mkuu,mwanamke akiwa malaya ni malaya tu,toka kigoma mpk chanika ni maraya haijalishi kabila lake.
Kama mwenzio kapata kilicho bora aamue mwenyewe kuoa au kuacha.
Tutatoa ushauri akipigwa za uso huko atakuja kutuomba ushauri tena.
Mwambie ampende mamaake kuliko kitu chochote hapa duniani.
Otherwise akwende mwana kwenda.
Maneno mazito haya atayapata kama yalivo
 
Kabila halidetermine tabia ya mtu hebu mkue sasa, kila jamii ya binadamu ina watu wenye kila tabia huwezi kugeneralize group la watu kwa tabia za watu wachache uliokutana nao wewe! Jamii yoyote ni complex na kila mtu ana tabia yake! Hizo ndoa zinazovunjika kila siku na machangudoa waliojaa kila kona ya jiji ni hayo makabila tu?
 
Kwanza ufahamu kuwa wanyaturu wanyaturu gani unawazungumzia kwa mukhtadha huo, kuna wairwana huko singida kaskazini, wahi singida kusini na wanying'anyi singida mashariki.ukitaka kuoa unaambia kaoe wairwana ni wavumilivu kwenye ndoa
 
Hili swali nimeona nililete hapa jukwaani,

Huyu dogo nadhani atakua kwenye utafiti maana hajaoa ndio anatarajia ajifunge kitanzi mwakani.

Je, katika kuuliza juu ya wanawake kutoka kwa Wanyaturu, Wanyiramba na Warangi kama ni watulivu ama namna gani.

Kila mmoja pale alijibu la kwake
Mfano mzee Mwambalaswa yeye kasema ni warembo na sio wachoyo kwa yeyote.

Hasa tusaidiane mawazo hizo jamii Wana tabia za namna gani,
Mwambie aende Manyara kwa wambulu aka kwa iraqw atakutana na pisi za viwango vya juu kabisa Tanzania. Binafsi nilichomoa mmoja katesh pale.
 
Hili swali nimeona nililete hapa jukwaani,

Huyu dogo nadhani atakua kwenye utafiti maana hajaoa ndio anatarajia ajifunge kitanzi mwakani.

Je, katika kuuliza juu ya wanawake kutoka kwa Wanyaturu, Wanyiramba na Warangi kama ni watulivu ama namna gani.

Kila mmoja pale alijibu la kwake
Mfano mzee Mwambalaswa yeye kasema ni warembo na sio wachoyo kwa yeyote.

Hasa tusaidiane mawazo hizo jamii Wana tabia za namna gani,
Hivyo vyote ni viburudisho
 
Back
Top Bottom