Wanawake Wanyaturu , Wanyiramba na Warangi wametulia na wavumilivu kwenye ndoa?

Maneno mazito haya atayapata kama yalivo
 
Kabila halidetermine tabia ya mtu hebu mkue sasa, kila jamii ya binadamu ina watu wenye kila tabia huwezi kugeneralize group la watu kwa tabia za watu wachache uliokutana nao wewe! Jamii yoyote ni complex na kila mtu ana tabia yake! Hizo ndoa zinazovunjika kila siku na machangudoa waliojaa kila kona ya jiji ni hayo makabila tu?
 
Kwanza ufahamu kuwa wanyaturu wanyaturu gani unawazungumzia kwa mukhtadha huo, kuna wairwana huko singida kaskazini, wahi singida kusini na wanying'anyi singida mashariki.ukitaka kuoa unaambia kaoe wairwana ni wavumilivu kwenye ndoa
 
Mwambie aende Manyara kwa wambulu aka kwa iraqw atakutana na pisi za viwango vya juu kabisa Tanzania. Binafsi nilichomoa mmoja katesh pale.
 
Hivyo vyote ni viburudisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…