Wanawake, wapi tunakosea kuwaandaa wakati wa tendo?

Wanawake, wapi tunakosea kuwaandaa wakati wa tendo?

Dah wanawake wengine ni ajabu kweli! Poleni vijana mlokuwa bado single! Yaani tuaamke mapema, jogoo la mwanzo kwenda kuitafuta pesa ili tuwalishe, tuwape pesa ya matumizi, pesa ya mapambo na fake extensions tele, tuwalipie kodi, tuwalipie bando, tuwatumie romantic messages tele, tuwatowe kula out, isitoshe tukirudi nyumbani straight ni kubadili na kuvaa nguo za mazoezi gym kutoa kitambi ili mufarhike kuwa tuna six pack halafu turudi nyumbani kuwashuhulikia chumbani. Halafu mkiambiwa mpande juu kufanya ride kwa dakika tano tu hamtaki! Mnakuja hapa na kusema kuwa mnataka hii style ifutwe!? Sasa nyie contribution yenu katika hii relationship ni nini hasa? Maana kama ni ile kitu tu mjue kuna njia nyengine ya kuipata na kujipunguzia frastartions ambayo haigharimu kama kuwaweka nyie ndani na haihitaji kutowa kitambi au kutuma sexy messages kila mara, na wala huulizwi ulikuwa wapi siku yote!
 
Back
Top Bottom