Wanawake Warefu (Tall Women)

Sasa haujaelewa nini mkuu?
Nime refer kwa my x [emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Sawa mkuu mie wala simdhanii au yeye kunidhania kama wakwako alivyokuwa akikudhania.Upendo hauchagui aise hapa naona wengi wananogesha kijiwe tu.Wapo wadada wanatongozwa na hao wanaume mnaowaita warefu wenye uwezo wa kifedha na bado wakawakataa ili hali anampenda mfupi asiye na chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Wordsworth, nimetafta sana mwanawake mrefu kwa mda pasipo mafanikio(kutokana na maeneo yangu nilokuwa nafanyia kazi,kigoma) naona now ndo mda mwafaka, mungu kanionyeshea nuru kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kila mmoja anatamba kwenye anga zake mkuu.
Kuna wanaume pia hawataki wanawake warefu.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Picha iko wapi sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitambo nilipokuwa primary school nilikuwa na ile mentality kuwa watu warefu wana akili sana kadiri nilivyokuwa na kujitambua niligundua watu wengi warefu Ke na Me uelewa wao ni mudogo sana,na hadi sasa kwa kweli watu wengi niliokutana nao warefu kwa kweli uelewa wao upo chini sana.
By the way Mungu hakupi kila kitu
 
Wanawake warefu sana havutii kabisa hata uwe na tako km beseni bado unaonekana kawaida hushtui kabisa

Mna hulka ya dharau ndo maana hampati waume kirahisi au mahusiano yenu hayadumu mnaishia kutumiwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…