[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inabidi nizifuteHizi comment zako kama kuna mtu alikuwa anakulia mingo na ni mfupi, inabidi asizione.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inabidi nizifuteHizi comment zako kama kuna mtu alikuwa anakulia mingo na ni mfupi, inabidi asizione.
Sawa mkuu mie wala simdhanii au yeye kunidhania kama wakwako alivyokuwa akikudhania.Upendo hauchagui aise hapa naona wengi wananogesha kijiwe tu.Wapo wadada wanatongozwa na hao wanaume mnaowaita warefu wenye uwezo wa kifedha na bado wakawakataa ili hali anampenda mfupi asiye na chochote.Sasa haujaelewa nini mkuu?
Nime refer kwa my x [emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
@Wordsworth, nimetafta sana mwanawake mrefu kwa mda pasipo mafanikio(kutokana na maeneo yangu nilokuwa nafanyia kazi,kigoma) naona now ndo mda mwafaka, mungu kanionyeshea nuru kwako.Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Sawa mkuu mie wala simdhanii au yeye kunidhania kama wakwako alivyokuwa akikudhania.Upendo hauchagui aise hapa naona wengi wananogesha kijiwe tu.Wapo wadada wanatongozwa na hao wanaume mnaowaita warefu wenye uwezo wa kifedha na bado wakawakataa ili hali anampenda mfupi asiye na chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa niaba ya wanawake warefu wote wa visiwani NAUNGA MKONO HOJA.
Japo hawajanituma ni kwa sababu tuu watu warefu huwa hatuna majungu.[emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo upo sahihi kabisa mkuu.Kila mmoja anatamba kwenye anga zake mkuu.
Kuna wanaume pia hawataki wanawake warefu.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Wewe hadi naogopa kukujibuNa urefu kweli gharama, apo home wakiwa mambo safi hela ipo, ustar unakuja kwako fasta tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata pa kujitapa jitapeee
Ukipata pa kujitapa jitapeee
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Na sisi wa sentimita 100 tuna comment wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikikumbuka ile siku sina hamuHahahahaaaa
Jiamin tu,
But I like u
Usisahau..
"Where we dare to talk openly"
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha iko wapi sasa?Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.