Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
- Thread starter
-
- #461
😂😂 sawa ni vizuri zaidi. Sio kila mtu anataka kuliwa.Wanawake wanaopendwa na wanaoliwa sana ni wafupi, hebu ongezea upande huu pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kila mtu kuna kitu alipewa na Mungu ambacho mwingine hanahahahhaa unamsema wif angu ww..yaan yy mnene...jaman majanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuingie kwenye maombi mamy...!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utani basi duuUkimkasirisha unapaswa kuchunga ugoko wako.Kwa sababu anakuwa karibu nao anaweza akakuvunjilia mbali.Chunga very!
Kweli kabisaLakini katika hali halisi wanawake wafupi ndiyo hupatana na sisi wanaume warefu kama mkojo wa asubuhi.
Usilie sana wafupi hawazeeki mapema[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mbona vyote nehii sasa!!!
Dada wewe sio mrefu, my girlfriend is 6.2 I am 5.11, I feel so proud kum win cause lesser men felt intimidated by the height differenceHabari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Hata sheikh Hilal kipozeo alisema watu wafupi wanaongoza kwa dhambi.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo nenoHuu uzi ungependeza sana dada kama ungeusindikiza na picha. Ujue wengine hizo metrics sijui 5'9" hatuelewi so inabidi hata kapicha.
NiceHongera mama, mimi ni 192 mtaani naitwa tolu mnyama na mke wangu ana 180 huwa tukipita popote lazima tupate watazamaji wa kutosha tunakuwaga maarufu automatically wengine wanatuuliza nyie ni ndugu huwa tunajibu yees we are[emoji108][emoji108][emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe namba yake, nimsaidie akusahau... Maana it's not healthy kuwa anakukumbuka kumbuka all this timeKuna mmoja nilikuwa namkunja sana mpaka leo ananikumbuka. Alikuwa tall sana and white.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali naomba twende wote kwenye hafla uwe unanihadithia yanayoendelea huko mbele..nina kadi za harusi mbili mwez ujao [emoji23]180cm ,nikienda kwenye hafla naonaga ukumbi mzima. Hahahahahaha
kwa urefu huo bado navaa heels......
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mi pia nilihisi hivi pia, ila ni kawaida tu..Wanasemaga eti huko chini pia nako kunakuwa kurefu?kuna ukwel hapo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wafupi wana hasira za haraka sana... Sijui ni insecurities [emoji23]Umeongea vibaya kwani wafupi sio watu na kama sio watu kwanini Mungu aliweka watu mbalimbali usikufuru vimo vya watu namna hiyo kama wewe hupendi ufupi ni wewe kama wewe ni mwanaume unapenda urefu utawapata tu.
Ila kukashifu wengine kisa unawachukia au ndio ulivyo wewe ni mfupi basi ndio ulivyoumbwa .
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Ila wanawake wafupi kitandani ni maajabu moto fire ilo halipingikiWanaume warefu wanapenda sana mwanamke mfupi nandoa nyingi ni hivyo mkatae mpende warefu kwa warefu ni wachache wanaoana.
Wanaume wafupi wanaenda kwa wanawake warefu hapa jirani mpende msipende huo ndio ukweli.
Huonagi mtu aliyeoa anafumaniwa na mdada mfupi ndio starehe yamutu murefu acheni hizooo.
Hahaha duuh, by the way mimi ni tall na naupenda urefu, the first day i met my hubby alivutiwa na urefu na umbo langu, mpaka sasa guna watoto wanne. Mahandsome boy watatu warefuuu na ka princesa kamoja karefuu kama miss miss world
Najivunia kuwa mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app