Wanawake Warefu (Tall Women)

Wanawake Warefu (Tall Women)

Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.

Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.

Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.

Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.

Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.

Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Dada wewe sio mrefu, my girlfriend is 6.2 I am 5.11, I feel so proud kum win cause lesser men felt intimidated by the height difference
I walk around with her like a king.. [emoji23]
 
Hongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sheikh Hilal kipozeo alisema watu wafupi wanaongoza kwa dhambi.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila yule sheikh sijui huwa anawaza nni
 
Umeongea vibaya kwani wafupi sio watu na kama sio watu kwanini Mungu aliweka watu mbalimbali usikufuru vimo vya watu namna hiyo kama wewe hupendi ufupi ni wewe kama wewe ni mwanaume unapenda urefu utawapata tu.
Ila kukashifu wengine kisa unawachukia au ndio ulivyo wewe ni mfupi basi ndio ulivyoumbwa .
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Watu wafupi wana hasira za haraka sana... Sijui ni insecurities [emoji23]
Ni utani tu
 
Wanaume warefu wanapenda sana mwanamke mfupi nandoa nyingi ni hivyo mkatae mpende warefu kwa warefu ni wachache wanaoana.
Wanaume wafupi wanaenda kwa wanawake warefu hapa jirani mpende msipende huo ndio ukweli.
Huonagi mtu aliyeoa anafumaniwa na mdada mfupi ndio starehe yamutu murefu acheni hizooo.
Ila wanawake wafupi kitandani ni maajabu moto fire ilo halipingiki
 
Picha Mtende itapendeza na hongera kwa kuwa super tall.

Hahaha duuh, by the way mimi ni tall na naupenda urefu, the first day i met my hubby alivutiwa na urefu na umbo langu, mpaka sasa guna watoto wanne. Mahandsome boy watatu warefuuu na ka princesa kamoja karefuu kama miss miss world

Najivunia kuwa mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm mwanamke wangu ana urefu kama wako,yaan kanizid mbali sana.....sjui kanipendea nn? Ila kwa kweli kumkiss mwanamke mrefu mkiwa upright is very tiresome for me,namwàmbiaga plz lala kitandani tu bby coz it tires to stretch my neck for the kiss.....pia tukitembea yy ndio huvuta attention sana ya watu....but I love her so much
 
Back
Top Bottom