Nimeongezeka I'm 5ft 10 1/2 inches.Dada wewe sio mrefu, my girlfriend is 6.2 I am 5.11, I feel so proud kum win cause lesser men felt intimidated by the height difference
I walk around with her like a king.. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alale ndiyo umkiss haa haa, na ukiwa huna nguvu unapokea kichapo haswaaaaMm mwanamke wangu ana urefu kama wako,yaan kanizid mbali sana.....sjui kanipendea nn? Ila kwa kweli kumkiss mwanamke mrefu mkiwa upright is very tiresome for me,namwΓ mbiaga plz lala kitandani tu bby coz it tires to stretch my neck for the kiss.....pia tukitembea yy ndio huvuta attention sana ya watu....but I love her so much
Lol wewe ni mfupi kiasi gani?Mm mwanamke wangu ana urefu kama wako,yaan kanizid mbali sana.....sjui kanipendea nn? Ila kwa kweli kumkiss mwanamke mrefu mkiwa upright is very tiresome for me,namwΓ mbiaga plz lala kitandani tu bby coz it tires to stretch my neck for the kiss.....pia tukitembea yy ndio huvuta attention sana ya watu....but I love her so much
@BAK, umepotea au unanyemelea uteuzi? [emoji3][emoji3]
Nikajua mwenzangu umeteuliwa maana hapa juzi kati kuna teuzi kama tatu zilipita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wala sijakosea nilitaka kuona tu ulivyopanda juu.
ππππππHongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
OhoooπππKwa niaba ya wanawake warefu wote wa visiwani NAUNGA MKONO HOJA.
Japo hawajanituma ni kwa sababu tuu watu warefu huwa hatuna majungu.[emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wow jamaniπππHongera mama, mimi ni 192 mtaani naitwa tolu mnyama na mke wangu ana 180 huwa tukipita popote lazima tupate watazamaji wa kutosha tunakuwaga maarufu automatically wengine wanatuuliza nyie ni ndugu huwa tunajibu yees we are[emoji108][emoji108][emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake warefu ni adimu mkuu nafikiri ndio sababu hata majeshini urefu wa KE uko chini lakini ME wameweka wa juu.Mbona mm nina urefu huo (176cm) lakin sijion kama miongon mwa watu warefu. Mm ni mwnaume na nina urefu exactly the same na ww lakin sijion kuwa mrefu wala sina hisia za kuwa mrefu. Najiona kawaida tu na kuna wakati najihisi mm ni mfupi. Ww kitu gan kinakufanya ujione mrefu, labda ukivaa high heel. I wish ningekuona kwa macho yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaKiukweli, wanawake warefu huwa mnapendeza saana. Wakati nilipokuwa nataka kuoa nilikosa mwanamke mwenye sifa kama yako. Ikabidi nioe mwanamke mfupi tu. Maana urefu wangu ni 190cm kumbuka urefu wa kitanda ni 180cm
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bahati yakoUrefu unachangamoto kadhaa wa kadhaa.
1. Nikienda Safari nahangaika saana kulala maana 99% ya lodge na guest house Zina vitanda vya kawaida. Kwa hiyo lazima nilale diagonally.
2. Hata kwa wanaume, kupata suruali,viatu Ni changamoto, shati la mikono mirefu Sasa ndo kimbembe haswa kulipata.
3. Sijui wanawake wanachukuliaje urefu, ktk maisha yangu ilishawahi tokea wanawake wanataka niwazalishe tu, halafu watalea wao. Kisa na mkasa anahitaji mtoto wake awe mrefu. For what
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema nini, wee tu ni mzuri periodHabari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'10 1/2 (178cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'11+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Mawazo yangu.........Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.

pia ukivaa high hills unaeza iona kesho yako, lakn pia naskia mmetoboka mno π just kidding, kwa ujumla Mungu Ali.umba kila Mt kwa mfano wake .Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'10 1/2 (178cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'11+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
piga uwa , na urefu wako ukose hela utaonekana robot , bora hata wafup wataonekn ni watoto tu π tena uwe mrefu na unatembelea 𦡠ndo kabisa unakua kama wammisionar waeneza injil, au unakuw ka lile limtu kwe wimbo wa roz muhando lirefuu π cjui ndo secrets agenda π π€£ πHabari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.