Wanawake Warefu (Tall Women)

Wanawake Warefu (Tall Women)

Dada wewe sio mrefu, my girlfriend is 6.2 I am 5.11, I feel so proud kum win cause lesser men felt intimidated by the height difference
I walk around with her like a king.. [emoji23]
Nimeongezeka I'm 5ft 10 1/2 inches.
Good for you I wish I was 6'5.
Uko vizuri mkuu. Your confidence is admirable.
 
Mm mwanamke wangu ana urefu kama wako,yaan kanizid mbali sana.....sjui kanipendea nn? Ila kwa kweli kumkiss mwanamke mrefu mkiwa upright is very tiresome for me,namwàmbiaga plz lala kitandani tu bby coz it tires to stretch my neck for the kiss.....pia tukitembea yy ndio huvuta attention sana ya watu....but I love her so much
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alale ndiyo umkiss haa haa, na ukiwa huna nguvu unapokea kichapo haswaaaa
 
Mm mwanamke wangu ana urefu kama wako,yaan kanizid mbali sana.....sjui kanipendea nn? Ila kwa kweli kumkiss mwanamke mrefu mkiwa upright is very tiresome for me,namwàmbiaga plz lala kitandani tu bby coz it tires to stretch my neck for the kiss.....pia tukitembea yy ndio huvuta attention sana ya watu....but I love her so much
Lol wewe ni mfupi kiasi gani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wala sijakosea nilitaka kuona tu ulivyopanda juu.
Nikajua mwenzangu umeteuliwa maana hapa juzi kati kuna teuzi kama tatu zilipita
 
Mbona mm nina urefu huo (176cm) lakin sijion kama miongon mwa watu warefu. Mm ni mwnaume na nina urefu exactly the same na ww lakin sijion kuwa mrefu wala sina hisia za kuwa mrefu. Najiona kawaida tu na kuna wakati najihisi mm ni mfupi. Ww kitu gan kinakufanya ujione mrefu, labda ukivaa high heel. I wish ningekuona kwa macho yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake warefu ni adimu mkuu nafikiri ndio sababu hata majeshini urefu wa KE uko chini lakini ME wameweka wa juu.
 
Urefu unachangamoto kadhaa wa kadhaa.
1. Nikienda Safari nahangaika saana kulala maana 99% ya lodge na guest house Zina vitanda vya kawaida. Kwa hiyo lazima nilale diagonally.
2. Hata kwa wanaume, kupata suruali,viatu Ni changamoto, shati la mikono mirefu Sasa ndo kimbembe haswa kulipata.
3. Sijui wanawake wanachukuliaje urefu, ktk maisha yangu ilishawahi tokea wanawake wanataka niwazalishe tu, halafu watalea wao. Kisa na mkasa anahitaji mtoto wake awe mrefu. For what

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bahati yako
 
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'10 1/2 (178cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'11+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Sema nini, wee tu ni mzuri period

Ulivyosema: kila mtu...'anakuheshimu'...na ... 'kila mtu akikuona anapenda kutoa maoni yake'... hiyo ni lugha ya picha kuonesha ulivyo smart na mrembo kupindukia, saazingine labda wewe mmiliki ulikuwa haulifahamu hilo.

Watu hawawezi kukujadili kama hauna mvuto bhana.

Nikwambie tu kwamba, mwanamke yeyote mrembo hukata ngebe za wabishi na wajuaji bila kujali jinsia, akipita mahali kila mtu lazima awe mpole hiyo ni nature hakuna ubishi.

Sisi kwetu msichana mrefu na msichana mweupe ndiyo urembo wenyewe huo na huaolewa kwa mahari 'ndefu'.

Msichana mrefu ana thamani ya ziada, anahesabika ana thamani kuliko visichana viandunje na ana noun yake huitwa 'ngunguhu'.

Tulipokuwa shule, akipita msichana mrefu utasikia wavulana wanaulizana: 'na ninyi kwenu mnakulaga twiga?'

Kama anavutia utasikia: ' tunakulagaaa, lakini ni nyara za Serikali hizo ukikamatwa unafungwa'.

Na kama havutii utasikia: 'hatulagiiii, kwetu ni mwiko', linafuata cheko la kufa mtu😁🤣🤣.

Hongera sana mrembo.
 
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'10 1/2 (178cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'11+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Mawazo yangu.........
Umenikumbusha miaka mingi iliyopita nilipata rafiki wa kike maeneo ya Karagwe...kabila alikuwa kati ya Mnyambo au Muhangaza na kimuonekano alikuwa kama Mnyarwanda......huyu naye alikuwa ni mrefu sana.....sasa katika mambo yetu yale ya kitandani huku chini pia alikuwa na urefu....kile kiswitch cha juu kirefu....ule ufa nao ulikuwa ni mrefu pia alikuwa na kitabu....yaani kijifungu unachambua mpaka upate kile kigololi daah inakuwa si mchezo...sema AMINA... :NyanLove: 🙂
 
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'10 1/2 (178cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'11+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
pia ukivaa high hills unaeza iona kesho yako, lakn pia naskia mmetoboka mno 😄 just kidding, kwa ujumla Mungu Ali.umba kila Mt kwa mfano wake .
 
piga uwa , na urefu wako ukose hela utaonekana robot , bora hata wafup wataonekn ni watoto tu 😄 tena uwe mrefu na unatembelea 🦵 ndo kabisa unakua kama wammisionar waeneza injil, au unakuw ka lile limtu kwe wimbo wa roz muhando lirefuu 😄 cjui ndo secrets agenda 😄 🤣 😂
 
Back
Top Bottom