Wanawake Warefu (Tall Women)

Sie wafupi mnatunyanyapaa eeh!!!
Basi leo nilikuwa nakagua gallery yangu nikakuta picha ya keki uliyoipikaga unakumbuka?
Nikatamani niingie kwenye picha niitafune.


Hii picha hapo chini ni mtu na mdogo wake.
Yaani kyutibiii na espy.
Ila sijasema nani ni nani na nani ni nani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Hongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vibaya kwani wafupi sio watu na kama sio watu kwanini Mungu aliweka watu mbalimbali usikufuru vimo vya watu namna hiyo kama wewe hupendi ufupi ni wewe kama wewe ni mwanaume unapenda urefu utawapata tu.
Ila kukashifu wengine kisa unawachukia au ndio ulivyo wewe ni mfupi basi ndio ulivyoumbwa .
😡😡😡😡
 
180cm ,nikienda kwenye hafla naonaga ukumbi mzima. Hahahahahaha
kwa urefu huo bado navaa heels......

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu unakuta mwanaume mfupi anasimama simama pembeni yako. Akikusemesha anakuwa kama anaangalia mbingu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sasa[emoji116][emoji116]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Urefu unachangamoto kadhaa wa kadhaa.
1. Nikienda Safari nahangaika saana kulala maana 99% ya lodge na guest house Zina vitanda vya kawaida. Kwa hiyo lazima nilale diagonally.
2. Hata kwa wanaume, kupata suruali,viatu Ni changamoto, shati la mikono mirefu Sasa ndo kimbembe haswa kulipata.
3. Sijui wanawake wanachukuliaje urefu, ktk maisha yangu ilishawahi tokea wanawake wanataka niwazalishe tu, halafu watalea wao. Kisa na mkasa anahitaji mtoto wake awe mrefu. For what

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unakuta mwanaume mfupi anasimama simama pembeni yako. Akikusemesha anakuwa kama anaangalia mbingu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sasa[emoji116][emoji116]View attachment 1005594

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
hahahaha unamuangalia kwa jicho Moja. Ye anahisi unamdharau ,Kumbe we unaona uvivu kumpa full attention hahahahahaha!!!!! Watusamehe tu Kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto zimezidiwa na mvuto!!!!! Mtu mrefu anavutia bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…