Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hapana, ni mrefu kwa kiasi chake.Hahah hahahha hahahha ni mfupi kwani?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, ni mrefu kwa kiasi chake.Hahah hahahha hahahha ni mfupi kwani?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Cjapanic course amezungumzia girls sio sie boysWatu wafupi utatujua tu, tumeshapanic tayari.
Mkuu waache tu, tufurahie mishe zetu.
Kitanda huwa hakitoshi. Lazima ununue kitanda King size. Ambacho huwa Ni 8 x 6
Hayo umesema wew sasaSema watu wafupi ni watata sana, nadhani inakuwa ni katika harakati za kutaka ku-compesate.
Basi leo nilikuwa nakagua gallery yangu nikakuta picha ya keki uliyoipikaga unakumbuka?Sie wafupi mnatunyanyapaa eeh!!!
Hahahahaha kwani mkuu wewe ni mrefu au mfupi?
JamaniImportant note.
Tall girls are for tall guys, short girls are fore tall guys also, and short guys can have each other[emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Sio mrefu wala mfupiHahahahaha kwani mkuu wewe ni mrefu au mfupi?
Hata kama mada haikuhusu.View attachment 1005580
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mie nawaoneaga huruma Saana.... Hata wakianza kuongea nabakigi kimyaa tu........Sema watu wafupi ni watata sana, nadhani inakuwa ni katika harakati za kutaka ku-compesate.
Ukiona huruma inabidi ukaolewe nao[emoji23][emoji23]
Umeongea vibaya kwani wafupi sio watu na kama sio watu kwanini Mungu aliweka watu mbalimbali usikufuru vimo vya watu namna hiyo kama wewe hupendi ufupi ni wewe kama wewe ni mwanaume unapenda urefu utawapata tu.Hongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu unakuta mwanaume mfupi anasimama simama pembeni yako. Akikusemesha anakuwa kama anaangalia mbingu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]180cm ,nikienda kwenye hafla naonaga ukumbi mzima. Hahahahahaha
kwa urefu huo bado navaa heels......
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha unamuangalia kwa jicho Moja. Ye anahisi unamdharau ,Kumbe we unaona uvivu kumpa full attention hahahahahaha!!!!! Watusamehe tu Kwa kweliHalafu unakuta mwanaume mfupi anasimama simama pembeni yako. Akikusemesha anakuwa kama anaangalia mbingu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sasa[emoji116][emoji116]View attachment 1005594
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Changamoto zimezidiwa na mvuto!!!!! Mtu mrefu anavutia bhanaUrefu unachangamoto kadhaa wa kadhaa.
1. Nikienda Safari nahangaika saana kulala maana 99% ya lodge na guest house Zina vitanda vya kawaida. Kwa hiyo lazima nilale diagonally.
2. Hata kwa wanaume, kupata suruali,viatu Ni changamoto, shati la mikono mirefu Sasa ndo kimbembe haswa kulipata.
3. Sijui wanawake wanachukuliaje urefu, ktk maisha yangu ilishawahi tokea wanawake wanataka niwazalishe tu, halafu watalea wao. Kisa na mkasa anahitaji mtoto wake awe mrefu. For what
Sent using Jamii Forums mobile app