Wanawake Warefu (Tall Women)

Kumbe wewe ni kiandunje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.

Mimi ni mfupi kawaida, maana nina orodha yangu kubwa nawazidi urefu.

Ila kwenye warefu siko.
 
Hongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa! Umetuua sana mpendwa
Hekima ni kipawa anachozaliwa nacho mwanadamu, hakina uhusiano na kimo, mimi ni mfupi kama huyo uliye mtaja, lkn nashukuru kwamba nakubalika kila mahali nitakapo kwenda kwa hekima na busara
 
It look like umeweka bango la kujipromote ww na familia yako. BTW hongera kwa urefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina ndoto ya kuoa mwanamke mrefu.. mungu ameaikia kilio changu kwa [emoji817]%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…