Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji111][emoji111]oyeeeeUsijisifu sana mrefu uwashukuru wafupi kwa kufanya uonekane mrefu la sivyo tusingekujua, wafupi wenzangu oyeeee[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujipi moyo ndio hatujawwhi kuwa na wafupi kwangu sijawahi kuwa na mpenzi mfupi ni.kweli.
Kumbe wewe ni kiandunje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Tusome tuuu. Mie hata 5"2 sifikiiiiii. Na sijawahi tamani kuwa mrefu.😃😃Wafupi tunasoma comments tu.
😃😃 nyie nao nimweka uzi wa wadada warefu mmeanza kutakana watu wa fupi. Smh!
We jamaa sijasoma hata comments nyingi yan nimekutana na hii yako aseee nimeishia kucheka tu.Hongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli hata mimi sijawahi, huwa nawaona kama walemavu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Tusome tuuu. Mie hata 5"2 sifikiiiiii. Na sijawahi tamani kuwa mrefu.[emoji2][emoji2]
Tusome tuuu. Mie hata 5"2 sifikiiiiii. Na sijawahi tamani kuwa mrefu.😃😃
Of course they are beautiful, but am very comfortable in my own skin.Kwakweli hata mimi sijawahi, huwa nawaona kama walemavu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hahahahaaa! Umetuua sana mpendwaHongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
It look like umeweka bango la kujipromote ww na familia yako. BTW hongera kwa urefu.Yaani hata sisi tukipita watu wanadhani sisi mapacha, sema tu rangi tumetofautiana meenzangu ni super black na mimi ni super white, hao watoto sasa ni fireee
Urefu raha jamani ukienda mahali huna haja ya kujitambulisha[emoji5][emoji5]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, basi hizo ndo size nazoonaga nafit nazo.
Ila iwe ina akili za watu warefu.
Hahhahaha. Kung'ang'ania tuu wasivyovifikia.
[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Nina ndoto ya kuoa mwanamke mrefu.. mungu ameaikia kilio changu kwa [emoji817]%.Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Unajidanganya urefu wa kimo unaendana na upeo wa akili?
You are not so smart either then.😁😁😁