mpatto
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 766
- 1,031
Hivi tuna sema mtu huyu.ni mfupi iwapo yupo chini ya cm ngapi kwa urefu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh, kama wavugwama?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]176cm
?
Mbona wewe ni andunje tu.
Muongo, kanda maalum huwa inatoa matoluNdio.
42[emoji44]Naona warefu tumepewa promo, bana, Mimi issue ni kwenye viatu huwa nakasirika unapenda kiatu ukijaribu hakitoshiii, ukibahatika kupata sometimes mpk bei inaongezeka,(size 42 ya kike),
Ila tunaonekana warefu sababu kuna wafupi and vice versa .hivo tunategemeana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nampata pia saguda flan, nyundo kwel kwel[emoji23][emoji23]Haahaaaaaaaa
Hahaaaaa
Nina kama marafik wawili wanatumia jina la Saguda.
Yani ni wafupi balaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unawachukia kwel kwel.... Warefu wakashindanie umis tuwewe na urefu wako kwangu bado unakuwa mbilikimo tu, mm nina ft 6,5" ..na ninachukia wasichana warefu kwa kuwa kwanza huwa hawaridhiki kitandani na hawana nyama za kula..kifupi msichana mrefu kwa mwanaume wa kiafrika ni kama mlingoti wa bendera ulosimama na sio wa bendera ya taifa bali ya ccm ...haha unaboaje!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema una cm ngapi, huenda una 156cm halafu unanicheka[emoji23][emoji23][emoji23]