Wanawake Warefu (Tall Women)

Wanawake Warefu (Tall Women)

My dear urefu una garama sn kwenye mavazi na usafiri. Unachukuliaje changamoto hizo?
 
Kama 176cm ni andunje basi tena, wengine tumekwisha!!
 
wewe na urefu wako kwangu bado unakuwa mbilikimo tu, mm nina ft 6,5" ..na ninachukia wasichana warefu kwa kuwa kwanza huwa hawaridhiki kitandani na hawana nyama za kula..kifupi msichana mrefu kwa mwanaume wa kiafrika ni kama mlingoti wa bendera ulosimama na sio wa bendera ya taifa bali ya ccm ...haha unaboaje!?
Mkuu unawachukia kwel kwel.... Warefu wakashindanie umis tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ki ukweli mnapendeza,ila akili zenu zingekuwa ndefu pia mngependeza zaidi,tatizo lenu wengi ni warefu lakini akili zenu fupi,ni sawa na bajaji kuiwekea tairi la fuso.
 
Back
Top Bottom