Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Watu "wafupi" tunadhalilika hivihivi!Hahahahahaaaa
Ni kweli mkuu mm nimeshuhudia na bado na date na m2 mrefu aisee parefu kama una kibamia utapata tabu sanaWanasemaga eti huko chini pia nako kunakuwa kurefu?kuna ukwel hapo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh!! Hapo kwenye kuwa mtupu ndiyo utata sasa hahahahahaUngeweka picha ukiwa hujavaa chochote tuthibitishe kweli, usikute watudanganya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Hongera mamy, kweli wenye urefu huo ni wanawake wachache sanaHabari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.

Sifa moja hukuitaja labda kwa kuwa wengi wanaifahamu hukuona sabbu ya kuitaja.Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.

wanawake warefu wote oyeeeeeeeHahaha duuh, by the way mimi ni tall na naupenda urefu, the first day i met my hubby alivutiwa na urefu na umbo langu, mpaka sasa guna watoto wanne. Mahandsome boy watatu warefuuu na ka princesa kamoja karefuu kama miss miss world
Najivunia kuwa mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
thank you hongera na weweHuwa na enjoy nikiwa church back bench yaani hapa kati wote unawaona kwa chini na padre unamwona mwanana madhabahuni.
Ukiwa mrefu kuna hali flani kama unakuwa na nyota ya kutawala!.
Hongereni tall women!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,una uhakika haujajijambia kwenye kaboka lako?Hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu wangu wa physics alikua anaitwa kaaya usikute ndo wewewanawake warefu wote oyeeeeeee