Wanawake Warefu (Tall Women)

Wanawake Warefu (Tall Women)

.
IMG-20190128-WA0073.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu "wafupi" tunadhalilika hivihivi!Hahahahahaaaa
Hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.

Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.

Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.

Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.

Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.

Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.

Hongera mama yangu ila ningependa kukutonya tu kuwa urefu wako ni extra-ordinary, ambao hata wanaume wengi walio warefu huwa hawaupendelei sana. Ukishakuwa na urefu ambao una chances kubwa ya kulingana na wanaume wengi ambao nao ni warefu, jua kuwa uko kwenye mstari mwekundu, wanaume wengi, hata wale ambao nao ni warefu pia, huwa hawapendelei sana wanawake amabao urefu wao umepitiliza kiasi!
 
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.

Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.

Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.

Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.

Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.

Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Hongera mamy, kweli wenye urefu huo ni wanawake wachache sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna warefu bila wafupi kuwepo, watu warefu wakizeeka kwa kweli wanatia huruma jinsi wanavyopinda . Hakuna bora uwe mrefu au mfupi wote ni namna ya uumbaji wa Mungu ili utukufu wake uonekane
 
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.

Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.

Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.

Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.

Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.

Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Sifa moja hukuitaja labda kwa kuwa wengi wanaifahamu hukuona sabbu ya kuitaja.
Wanawake warefu wana mapango ya kuhifadhia madini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha hahahahhahaahhahahhaha[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,una uhakika haujajijambia kwenye kaboka lako?
 
Kuna ukweli gani kuhusina urefu wenu na sehemu zenu za Siri, huwa inasemakana kuwa huwa warefu Sana mpk ktk nyeti zenu...
He ni kweli urefu wenu umewaathiri nyeti zetu hko chini???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SASA MINIAMBIE MTU MREFU ANAANZIA SENTIMITA NGAPI NA MFUPI PIA
 
Back
Top Bottom