Wanawake Warefu (Tall Women)

Wanawake Warefu (Tall Women)

haooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Attachments

  • mrefu.jpg
    mrefu.jpg
    31.3 KB · Views: 45
  • mrefu tu.jpg
    mrefu tu.jpg
    76.2 KB · Views: 45
  • warefu.jpg
    warefu.jpg
    40 KB · Views: 44
  • mrefuuu.jpg
    mrefuuu.jpg
    10 KB · Views: 41
Hebu na wafupi nao wajieleze jamani ili tubalance stori.Sema sasa jamani sisi binadamu nae tuna visa.Unakuta kama hivyo , unakutana na hiyo figure uitakayo, shepu kama miss world lakini sasa ndani ya sita kwa sita mtu akimanua mguu tu ashakuput off loh! Mbunye inakuwa chini ya kiwango. Hii si kwa ke peke yao,hata me nao wapo.

Hivyo, bora kuomba Mungu mtu wako ajaaliwe kila sekta ili usijute.

Mungu saidia
 
Umenikumbusha nilikuwa na kaboyfriend kafupi kafupi , usipopokea simu tuu anajua urefu unakupa kiburi. Ukitembea njiani ikiwa kama umebaki nyuma anasema unaona aibu kutembea naye.
Akigomba sasa yeye si ni mfupi nikimwangalia kwa chini anasema namwangalia kwa dharau yaani nampandisha na kumshusha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.

Ha ha ha wewe kweli itakuwa ulikuwa unampandisha na kumshusha.... Wewe tall yeye mfupi view moja tu si inatosha kumuona wote
 
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.

Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.

Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.

Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.

Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.

Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Na kwenye kucheza mziki tako liko juu tunalifikia wachache.
 
hivi kwauzoefu wako wanawake warefu na papuchi zinakuwa ndefu au vipi mimi sijuagi
 
Kiukweli, wanawake warefu huwa mnapendeza saana. Wakati nilipokuwa nataka kuoa nilikosa mwanamke mwenye sifa kama yako. Ikabidi nioe mwanamke mfupi tu. Maana urefu wangu ni 190cm kumbuka urefu wa kitanda ni 180cm

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi ni kweli wanaume warefu wanakuwa na miguu mitatu mwingine wa mtoto?? maana kuna dada yangu mmoja aligoma kuolewa na mtu mwenye sifa kama yako, sababu eti kizazi kitapasuka
 
MM nimwanaume then mfupi yaani nina 5.5 kamili,
Kinacho nishangaza wanawake warefu wanapenda wanaume wafupi,mbaya zaidi hata mm mwenyewe na ufupi wangu sipendi kabisa wanawake wafupi,sijui ww mfupi mwenzangu

Urefu anao uzungumia mtoa maada ni kama ule wa Naibu spika ambao most yao wanakosaga wanaume ,

Mwanamke mwanye urefu kama ule mara nying hua wanapoteza mvuto .mwanamke uwe na urefu wa 5.5 mpaka 5.7 yaania kama ule wa wema sepetu au ule wa mke wa mengi ila nyama ni muhim

haya ni mawazo yangu sijui ww ..
 
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.

Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.

Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.

Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.

Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.

Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
karibu inbox nikuulize swali!
 
Back
Top Bottom